Imewahi kukutokea?. .

Calnde

JF-Expert Member
Oct 7, 2008
1,373
277
Hivi imewahi kukutokea unaamka tuu huna mood na mpenzio/mkeo? Yaani hutaki tuu akusemeshe au awe karibu nawe! Sababu nini?
 
mimba, kudeka/maigizo, kupenda attention (drama queen) na oestrogen side effects
 
How does it happen?

Zipo sababu nyingi zinazosababisha H/imbalance, lakini sababu kubwa hasa ni kuongezeka kwa kiasi cha estrogen ktk damu hali kadhalika kiasi kisichokubalika cha progesterone. Sasa haya mambo mengine ni a bit complex.
 
While estrogens are present in both men and women, they are usually present at significantly higher levels in women of reproductive age. They promote the development of female secondary sexual characteristics, such as breasts, and are also involved in the thickening of the endometrium and other aspects of regulating the menstrual cycle. In males, estrogen regulates certain functions of the reproductive system important to the maturation of sperm[SUP][10][/SUP][SUP][11][/SUP][SUP][12][/SUP] and may be necessary for a healthy libido.[SUP][13][/SUP][SUP][14][/SUP] Furthermore, there are several other structural changes induced by estrogen in addition to other functions.

Nafikiri hii hormone itakufanya umpende zaidi!!!!!
 
ukinuna nuna tu ila mambo ya chumbani usiyanunie, manake yanaweza yakakugharim. Lakini ukweli kwa wwnye ndoa wengi mara chache unaweza ukaamka ukawa hata hutaki kuongea na mwenzio na hii iko kwa wote wawili. yaani ke /me. lakini tujiulize kama mtu umezaliwa na una ndugu zako wa damu, ninyi mlimyonya titi moja, mkala pamoja, mkaoga na hta kulala baba yenu ni mmoja na mama ni mmoja na ipo siku mnanuniana au hata kugombana sembuse huyu mwenzio mliokutana wote mkiwa na meno 32? kila mmoja anatoka kwake? siyo rahisi bwana. angalia hata wanao tu wanaweza wakanuniana au wakagombana sasa je ninyi mliokutana ukubwani si zaidi? haya mambo yapo ila busuara na hekima hasa ya mama ndippo inapotumika zaidi kwani inabidi ajishushe sana ili kurudisha amani hapo ndani kwani always mama ni pambo la nyumba na huwa anapamba nyumba kwa amani, usafi, furaha na lishe bora.
 
Hapo umenena, lakini sasa nini sababu ya kununa huko? Au ndo inatokea tuu? Naturally?
 
sometimes in life we need space...time to be alone/on your own and do things for youself....ikitokea umeamka hivyo,just be honest na umwambie mwenzio "i think i need to be left alone today/now,or i think i need time for myself"

Japo angalia hizo time to be left alone zisiwe nyingi...
 
Hapo umenena, lakini sasa nini sababu ya kununa huko? Au ndo inatokea tuu? Naturally?

sababu ni nyingi sana, ila hormones, past experiences hasa zile mbaya,ugumu wa maisha, maudhi ambayo yanatokana na watu wengine, kushindwa kufikia malengo au kutokufanikiwa katika jambo fulani, kuishiwa. na hili ndio tatizo kubwa siku mkiwa mmeishiwa kila mtu ananuna na hii ni kwa wote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom