Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,737
- 18,924
hapa inabidi nishangae kidogo hivi kuna mwanaume asiejua anataka nin toka kwa mwanamke mkuu???Ukiona mwanaume anatongoza tongoza sana wanawake kama jogoo la mzee Kifaruhande linavyomiliki mtetea wote mtaa mzima, basi ujue mwanaume huyo hajui anataka nini kwa mwanamke!!