Imewahi kukutokea hii??

Imewahi kukutokea hii??

unajuaje wewe ni zaid ya hao atakaokutana nao mbelei!!!!!!!

mie kuna kakijana kalinitongoza kama wewe na sikukaa nimkubali eti ananiambia UTANIKUMBUKA sana...,

sijui nimepoteza bahati!!!I was like WHAT!!!!!!!!!!!! kama hii ni bahati basi iache iende!!!!!

kila anaekutongoza ukamkataa/umepotezea haimaanishi umepoteza bahat
ha ha ha..., na ulimkomesha kweli. vip yule jamaa anaekuzidi umri ushamkubalia?
 
mimi usiponikubali haraka haraka sibembelezi,mind you girls mnapoteza bahati bure! na hata baadae unitake tena ndo inakuwa imetoka ,hairudi

Mzee inakuaje hadi binti anakataa, Haijawahi nitokea ati!!!
 
eti miss strong, ulimpa jibu gani hilo lifuko la pesa?

Mara ya kwanza nilimuacha.......,nikampuuzia.Kuna siku nikamwambia nataka ninunue banda(nyumba) yako then nibomoe ili nifunge bembea watoto wawe wanacheza.
Alikasirika......lakin siku hiz anacheka tu akiniona,tunaheshimiana mkuu Mokoyo
 
Last edited by a moderator:
Mara ya kwanza nilimuacha.......,nikampuuzia.Kuna siku nikamwambia nataka ninunue banda(nyumba) yako then nibomoe ili nifunge bembea watoto wawe wanacheza.
Alikasirika......lakin siku hiz anacheka tu akiniona,tunaheshimiana mkuu Mokoyo

hahahaha alikuwa hajui miss strong, naye anaweza dharau ee?
 
Wanawake ndio walivyo, ukimtongoza akakataa anakuweka kwenye waiting list.
 
unajuaje wewe ni zaid ya hao atakaokutana nao mbelei!!!!!!! mie kuna kakijana kalinitongoza kama wewe na sikukaa nimkubali eti ananiambia UTANIKUMBUKA sana..., sijui nimepoteza bahati!!!I was like WHAT!!!!!!!!!!!! kama hii ni bahati basi iache iende!!!!! kila anaekutongoza ukamkataa/umepotezea haimaanishi umepoteza bahat
Wengine ukiwakataa unapunguza mikosi na majanga.
 
Unakutanaga na vilaza wasiojitambua.

Kwi Kwi Kwi usifanye nimwage mtama kwenye kuku wengi........ In short The most decent, matured, educated, beautiful, and intelligents I consider myself to be a lucky man, 3 of them I was their 1st man, sio wanaonuka mkojo. Hata kichwani hamna kitu.
 
Kuna sehemu moja kulikuwa na mabint wawil m2 na mamdogo, mshikaji kamtongoza mamdogo akakataa na kumweleza mtoto na akamponda sn hampendi kabisa. Mshikaji kamtongoza mtoto akakubali na wameoana sasa ni mwaka wa5. mamdogo anawachukia mtoto na mumewe!

sasa ukimuuliza kwa nini amechukia sijui atajibu nini,ana act kaibiwa mume!( hawa viumbe hawaeleweki/hawajielewi)
 
mara nyingi huwa tunabahatisha ila mpango mzima wa ndoa upo mikononi mwa mungu jamani mpo acheni kubahatisha vijana wenzangu
 
"If u dont love me now then dont love me later when later is much greater"
 
[/B]sasa ukimuuliza kwa nini amechukia sijui atajibu nini,ana act kaibiwa mume!( hawa viumbe hawaeleweki/hawajielewi)


Hapo kwa bold unazungumzia viumbe gani hao?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom