Imewahi kukutokea hii??

Imewahi kukutokea hii??

Johnsecond

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2010
Posts
1,076
Reaction score
211
Wakati kijana niliogopa sana kuwa na wapenzi wengi ila ilikuja ikatokea nikawa na wengi japo walipungua mpaka akabaki mmoja. kilichosababisha ni hiki hapa; nilikuwa nikimtongoza msichana akikataa naachana naye natongoza mwingine akikataa naenda kwa mwingine lakini kwa vipindi tofauti. Kumbe hawa watu ukimtongoza anakuweka kwenye waiting list, du zilikuja zamu zangu zikafika sehemu zote nikajiona kama super star vile (loveable) kumbe mpumbafu. Wengine wakitaka lunch tu, wengine simu, wengine viwanja, wengine biashara, wengine chips na wengine walitaka mapenzi tu na wengine kuolewa. Ni kipindi a,mbacho huwa sikisahau. Nawashauri watongozaji (Vijana) msibananishe sana vipindi vya kutongoza mtashindwa kuchagua wakikubari wote pamoja . . .
 
mimi usiponikubali haraka haraka sibembelezi,mind you girls mnapoteza bahati bure! na hata baadae unitake tena ndo inakuwa imetoka ,hairudi
 
Ukiona mwanaume anatongoza tongoza sana wanawake kama jogoo la mzee Kifaruhande linavyomiliki mtetea wote mtaa mzima, basi ujue mwanaume huyo hajui anataka nini kwa mwanamke!!
 
yep, haina shida akabahatike huko,ila asifikiri kunirudia . naamini bahati(mimi) ni zaidi ya bahati atakazokutanazo mbele

unajuaje wewe ni zaid ya hao atakaokutana nao mbelei!!!!!!!

mie kuna kakijana kalinitongoza kama wewe na sikukaa nimkubali eti ananiambia UTANIKUMBUKA sana...,

sijui nimepoteza bahati!!!I was like WHAT!!!!!!!!!!!! kama hii ni bahati basi iache iende!!!!!

kila anaekutongoza ukamkataa/umepotezea haimaanishi umepoteza bahat
 
naamini hivyo(kwa hiyo ni swala la imani tu),japo binafsi mtu akinikataa simwambii kapoteza bahati, japo ndani ya feeling naamin kapoteza ndio maana akijafahamu baadae kwamba nilikuwa madini anakuwa kachelewa(bahati siwi mara mbili).fahamu our life is what our thoughts make it
 
mmh haya
 
Ukiona mwanaume anatongoza tongoza sana wanawake kama jogoo la mzee Kifaruhande linavyomiliki mtetea wote mtaa mzima, basi ujue mwanaume huyo hajui anataka nini kwa mwanamke!!

umenenavema njoo uchukue kahawa kwa mfuga mbwa,,,,hata wanawake wanaokubali kubali bila mpangilio wako kundi hili ulilisema.
 
mimi usiponikubali haraka haraka sibembelezi,mind you girls mnapoteza bahati bure! na hata baadae unitake tena ndo inakuwa imetoka ,hairudi

jina la kitabu linasadifu yaliyomo! Upo?
 
unajuaje wewe ni zaid ya hao atakaokutana nao mbelei!!!!!!!

mie kuna kakijana kalinitongoza kama wewe na sikukaa nimkubali eti ananiambia UTANIKUMBUKA sana...,

sijui nimepoteza bahati!!!I was like WHAT!!!!!!!!!!!! kama hii ni bahati basi iache iende!!!!!

kila anaekutongoza ukamkataa/umepotezea haimaanishi umepoteza bahat

Yaaani hiyo wanaume wanayo sanaa Heaven on earth.........

Me yupo aliyeniambia eti kumkataa yeye ni sawa nakupiga teke fuko la pesa!!!!!!!!!nikaona ananiletea masikhara......

Jamani MWENYE BAHATI HABAHATISHI!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Yaaani hiyo wanaume wanayo sanaa Heaven on earth.........

Me yupo aliyeniambia eti kumkataa yeye ni sawa nakupiga teke fuko la pesa!!!!!!!!!nikaona ananiletea masikhara......

Jamani MWENYE BAHATI HABAHATISHI!!!!!!!

Hahaaaa umenichekeshaje mie eti fuko la pesa,waende huko kwa minajili

hiyo si utakubali kila mtu kwa kuhofia kupoteza bahati
 
Kuna sehemu moja kulikuwa na mabint wawil m2 na mamdogo, mshikaji kamtongoza mamdogo akakataa na kumweleza mtoto na akamponda sn hampendi kabisa. Mshikaji kamtongoza mtoto akakubali na wameoana sasa ni mwaka wa5. mamdogo anawachukia mtoto na mumewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom