babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 13,113
- 16,025
Kuna habari ambazo zimevuja katika website moja inayokwenda kwa jina la www.u-turn.co.tz kwamba Miss Joketi Mwegelo amemfuata Hasheem marekani na kuishi nae. Habari yenyewe iliandika hivi
MISS AHAMIA MAREKANI KUISHI NA HASHEEM THABEET....
Golden boy Hasheem thabeet yuko deep in love na binti wa kibongo. Mapenzi hayo yalianza mienzi michache iliyopita hasheem alIvyokuwa dare s salaam, Kwa macho yangu nilikuwa nikimuona huyo demu( ambae alikuwaga miss Tanzania number 2 miaka michache iliyipota)
Akiwa na hasheem kwenye kiwanja cha basketball cha mlimani, yani demu alikuwaga anamsubiri hasheem hapo basketball court karibia kila siku . Na kwa sasa dada huyo yupo Memphis,Marekani akiishi kama mke na mume na Hasheem Thabeet.
Nimeipenda sana couple yao sababu inaonekana ni mapenzi ya kweli,Hasheem katulia sana kwa sasa haoni wala hasikii juu ya huyo binti na binti na yeye kaacha shughuli zake bongo kamfata jamaa marekani,binti pia ni msomi ndio kamaliza university mwaka huu,alikuwa anasoma sheria pale mlimani.
Hasheem alinicheki kwenye simu usiku wa kuamkia leo na kuniambia kuwa huyu mtu anayemiliki hiyo website ni muongo kabisa. Namnukuu Hasheem
"Joketi ndio ni rafiki yangu tokea nikiwa Bongo ila kwa sasa hata mimi nasikia yuko Marekani so siishi nae wala nini hizi ni habari za kizushi
chanzo djchoka blog
goodTuanawatakia maisha mema ya pamoja
ndio maana yake,acha kulia lia toa hicho kidude mdomoni nikupe moshi upige pafu:smile-big:wivu au nini mbaya acha wale malaha maisha yenyewe haya yakufisadiana...bora wajilie kwa raha zao...
tulio mbali tutapiga vip kura mkuu?waache wasonge na maisha kwa sasa cha muhimu kwetu ni uchaguzi na kumchagua slaa
Yaah ni safi sana ingawa mwenyewe hashim anatoa nje lakini mbona poa tu.Mi naifagilia hiyo, sisi kwa sisi mzunguko wa hela urudi Bongo. Thabeet congrat kujali wa hapa hapa
Kuna habari ambazo zimevuja katika website moja inayokwenda kwa jina la www.u-turn.co.tz kwamba Miss Joketi Mwegelo amemfuata Hasheem marekani na kuishi nae. Habari yenyewe iliandika hivi
MISS AHAMIA MAREKANI KUISHI NA HASHEEM THABEET....
Golden boy Hasheem thabeet yuko deep in love na binti wa kibongo. Mapenzi hayo yalianza mienzi michache iliyopita hasheem alIvyokuwa dare s salaam, Kwa macho yangu nilikuwa nikimuona huyo demu( ambae alikuwaga miss Tanzania number 2 miaka michache iliyipota)
Akiwa na hasheem kwenye kiwanja cha basketball cha mlimani, yani demu alikuwaga anamsubiri hasheem hapo basketball court karibia kila siku . Na kwa sasa dada huyo yupo Memphis,Marekani akiishi kama mke na mume na Hasheem Thabeet.
Nimeipenda sana couple yao sababu inaonekana ni mapenzi ya kweli,Hasheem katulia sana kwa sasa haoni wala hasikii juu ya huyo binti na binti na yeye kaacha shughuli zake bongo kamfata jamaa marekani,binti pia ni msomi ndio kamaliza university mwaka huu,alikuwa anasoma sheria pale mlimani.
Hasheem alinicheki kwenye simu usiku wa kuamkia leo na kuniambia kuwa huyu mtu anayemiliki hiyo website ni muongo kabisa. Namnukuu Hasheem
"Joketi ndio ni rafiki yangu tokea nikiwa Bongo ila kwa sasa hata mimi nasikia yuko Marekani so siishi nae wala nini hizi ni habari za kizushi
chanzo djchoka blog
waache wasonge na maisha kwa sasa cha muhimu kwetu ni uchaguzi na kumchagua slaa
Unacheza na good time za NBA basket ballers???ndo maana mtoto kaingia line, Ila Jokate ndo nimempoteza hivyo, i was in love with her, sema asingenikubali manake mkwanja kama wa Hashimu sina:doh:
Tuanawatakia maisha mema ya pamoja