Imetokea kweli, japo bado siamini...

Siku zote huwa ninajua umeolewa...sababu ni aina ya threads ambazo umeshawahi kuweka hapa jamvini kabla

Hata mimi nilidhani hivo..au ndo tunazeeka watu8!? tunasahau sahau mambo
 
Last edited by a moderator:

Ha ha ha..Kazi kweli kweli
 
Last edited by a moderator:
Hivi ikitokea umesikia Mpole sana ndo kakunyang'anya Eiyer lol
utafeel vipi? lol

nawe umenitoa machozi kwa kucheka.
Yaani hata siumizi kichwa, na nitasema good riddance!
cc. Eiyer
 
Last edited by a moderator:
if u happen to believe in love u'll find the soul mate thing.

Concept nzima ya "soul mate" inatumiwa ili kuhalalisha talaka.

Kwamba mambo yakienda mrama basi hakuwa "soul mate" wako kwa hiyo bora umpe talaka ili uendelee kutafuta "soul mate".
 
According to FP this is what you seems to imply in this thread.

You separated before you got back together again.

Though mie bado na-assume ni ule mtoko wa Pasaka. lol.

hiyo umesema weye na FP kwa mitizamo yenu mbalimbali, me am sinking on top of the world my so called soul-mate enjoying the malavidavi.................:A S-heart-2::A S-heart-2:
rafiki EMT
ukinisoma vizuri sijasema waliseparate wamerudiana....
ni katika ups and downs sasa wapo up (sijui down, inategemea na definitions zao)
enjoy sakapal...... sitaki kusema while it ends
 
Last edited by a moderator:
Hahah sidhani kama ninasahau mpendwa, nina kumbukumbu nzuri sana za best huyu na ni moja ya rafiki zangu wa hapa.
Sasa kwa thread hii ndio maana nimeishia kuduwaa tu mie!

Hata mimi nilidhani hivo..au ndo tunazeeka watu8!? tunasahau sahau mambo
 
Last edited by a moderator:


May be siku zingine huwa anawaulizia wenzie.
 
Asante sana kwa upendo wako, naomba endelea kupenda watu na mimi nisiwe sababu yakukupunguzia jinsi unavyo jali wengine , nisamehe , ila kikweli nilivumilai nikashindwa.
 
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:



 
Last edited by a moderator:
Kumbe ni sakapal huyu huyu? Ndio maana napenda JF!
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ni sakapal huyu huyu? Ndio maana napenda JF!

Hahahahahaaa Roulette kwani kuna mtu mwingine anajitambulisha kama sakapal out of me? ndo mi ni huyu ambaye niko kwenye malavidavi huyo mwingine simjui. Karibu sana jf.
 
Last edited by a moderator:
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:



Thanks BAK ubarikiwe kwa kunipa tungo maridhawa, zinanikosha vilivyo.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Concept nzima ya "soul mate" inatumiwa ili kuhalalisha talaka.

Kwamba mambo yakienda mrama basi hakuwa "soul mate" wako kwa hiyo bora umpe talaka ili uendelee kutafuta "soul mate".
wewe wasema mie nawik wik tuu hewani navuta upepo mwanana wa soul mate.........:A S-heart-2:
 

Watu wengine kutosikiliza ushauri ni mabingwa kama SERIKALI YA TANZANIA (vichwa maji=WATER HEADS au ni HEADSWATER???)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…