Imetokea kweli, japo bado siamini...

Imetokea kweli, japo bado siamini...

Naona umeanza kuni-quote mara mbili mbili.

Vipi keyboard imeanza kuteleza?

Au macho yanaona double? lol
nilikwambia utatundika leseni ukutani!
i warned you partner!i warned you!
should we adjourn??
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Unajua nini? nakuangalia sikumalizi,
snowhite unaona? She has already planned to eat me.

Yaani sasa anapiga mahesabu ya jinsi ya kunila na kunimaliza bila kubakisha hata mfupa.

mie sitakiiiii.

See? Hutaki nini tena wakati unaniangalia bila kunimaliza?

Mara nataka sitaki, nataka sitaki, mbona wewe kisebusebu?
 
Last edited by a moderator:

mimi hii sitakiiiiiii af wewe unajua herufi moja kisheria inabadilisha maana!hakusema sitaki
alisema MIE SITAKIIIIII,imagine hii MIE hii!lol!
my wee vibaya hvo!sinifanyie hivo kwa partner wangu ,ka law firm kenyewe ndo kanaanza ujue!
 
aaaah we ushanchosha looh!!! mwanaume unamaneno kama asumani msumeno aaah!! na hiyo profession yako inakuruhusu kuongea na kuquote mtu hata kama hakumaanisha alichokisema. Hebu rudi ofisini kwako kuna mafaili yanatakiwa mahakamani nenda uyapeleke.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
nilikwambia utatundika leseni ukutani!
i warned you partner!i warned you!
should we adjourn??

Kwa maneno yake, I guess she wants to move the hearing in chamber, but I think the public might be interested into this case. So, many parties are involved as well.
 
aaaah we ushanchosha looh!!! mwanaume unamaneno kama asumani msumeno aaah!! na hiyo profession yako inakuruhusu kuongea na kuquote mtu hata kama hakumaanisha alichokisema. Hebu rudi ofisini kwako kuna mafaili yanatakiwa mahakamani nenda uyapeleke.

the way i know him!
nahis ndo anaanza my wee!so get ready !
he is not going to spare the rod!believe me you!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
mimi hii sitakiiiiiii af wewe unajua herufi moja kisheria inabadilisha maana!hakusema sitaki
alisema MIE SITAKIIIIII,imagine hii MIE hii!lol!
my wee vibaya hvo!sinifanyie hivo kwa partner wangu ,ka law firm kenyewe ndo kanaanza ujue!

Kweli ka law firm ketu ndo kanaanza, but we need expand it fast by catching the big fish.

I trust your cooking skills.
 
Kwa maneno yake, I guess she wants to move the hearing in chamber, but I think the public might be interested into this case. So, many parties are involved as well.
in deed!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Huko kwenye red, are you OK? lol

always a woman will sya no and a man will hear yes, I wonder what came into ur head after you read the ooh! There I put the Nigerian tone kuonesha msisistizo ila kwakuwa unawaza kwa kichwa chako cha chini ushapeleka mawazo yako huko huko looh!!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
aaaah we ushanchosha looh!!! mwanaume unamaneno kama asumani msumeno aaah!!

Ushachoka mapema hivi?

Nilidhani ndo tunaanza?

Huko red naona hata sauti zinaanza kuji-mix automatically. lol
 
mimi hii sitakiiiiiii af wewe unajua herufi moja kisheria inabadilisha maana!hakusema sitaki
alisema MIE SITAKIIIIII,imagine hii MIE hii!lol!
my wee vibaya hvo!sinifanyie hivo kwa partner wangu ,ka law firm kenyewe ndo kanaanza ujue!

Jamani wee wote wewe na EMT mna ni qoute wrong, I ddnt mean what u think looh!! najutajeee!!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom