snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,338
Last edited by a moderator:
ahahahhahahhaha hebu twende tukasue watu wengine huko!Jamani nini tena?
Sasa soul mate wako akisoma hizi "jamani" zako mbona pressure itampanda?
snowhite mie huyu EMT nimemshindwa haelewi la muadhini wala la mnadi sala kuwa mie nina soul mate wangu na siwezi kuwa nae labda umueleweshe zaidi kwa kilugha chao mie nshachoka sasa.bhaelezeee bhajue bhapate kusikia!bhapate ukweli juu ya moyo! EMT bora tu ungejibakiaga kwenye home made chocolate zangu!
Kesi zenyewe zinakuja kwa ajili ya mention tuu, so hakuna tija sana.
Our legal officer will sort that out.
I'm looking for a big fish and I can see it in you.
snowhite, this year I want a White Christmas.
I think so. lol
EMT chokochoko mchokoe pweza binadamu hutomuweza. For ur information, The Boss is not and will never be my soul mate, my soul mate nimekutana nae nje ya jf b4 hata sijaingia jf so stop calling pple out there as my soul mates. Picha yake si nimeshakuonesha? Unataka nini tena? Umetumwa nini?Usikute The Boss ndo soul mate wake?
Maana amesema alimpata humu humu lakini sio chitchat, though alinishauri nikamtafute wangu chitchat. lol
Kesi zenyewe zinakuja kwa ajili ya mention tuu, so hakuna tija sana.
Our legal officer will sort that out.
I'm looking for a big fish and I can see it in you.
snowhite, this year I want a White Christmas.
Asiyekubali kushindwa si mshindani.
Umekubali kuwa umenishindwa, kitu ambacho kinanifanya nishindane na wewe zaidi.
You're competitive. Aren't you? Usitake kuniambia you aren't.
big fish needs a big net!
and we do have one!
shooot!