mama dunia
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 420
- 84
jamani yaani ndugu yangu kuamkia leo hii kaporwa na watu/majambazi ambao inaonekana wamemfatilia kwa kipindi fulani, walikua na taxi ambayo ilikuwa imepak pembmneni ya kijibaRABARA then after kumpiga na kuchukua hela gari ikaoNDOka nduki sana, yeye ana kakijibanda ka mpesa, wamempiga hadi sasa ana maumivu bado, ilikua usiku, karibia na kwake wakati ndo katoka katika hiyo biznez, kuweni makini sana yaani WEZI wanArudisha sana maendeleo nyuma.