Mwananchi hewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 226
- 275
[emoji119][emoji119][emoji119]hiiii kitu kuacha mbona ngumu sn wajamen ILA IS MORE SAFE IN TERMS OF D'SE
nguvu zinarudi mara tatu ya ambaye si mpigaji wa puchu...maana mwili alikuwa umezoea ku export mbegu nyingi na kutoa kila siku...saiz itazalisha kwa kasi mbegu halafu utoaji hafifu kwaio utakua ukilala na demu umimwaga bao ujazo mwingi...Ni kama mzaha ila baada ya miaka zaidi ya kumi jana nimetimiza wiki moja bila ya kupiga punyeto ila ni kwa sababu nimeamua kwa dhati kabisa ili nipate heshima katika mapenzi
Na kusema kweli kuacha ni kama mvutaji wa sigara maana mara nyingi unasema mwisho leo lakini unaendelea japo hupendi
Niwaambie wenzangu wanaendelea mpaka sasa wafanye maamuzi ya dhati ya kuacha
Nikitimiza mwezi mmoja nitaleta mrejesho kama nimeweza au bado nataka mpaka mwezi mmoja upite bila ya kugegeda wala kupiga punyeto
Maswali yangu je nguvu zangu za kiume zitarudi
I still can't figure it how Dar es salaam Stock Exchange (DSE) has anything to do with thishiiii kitu kuacha mbona ngumu sn wajamen ILA IS MORE SAFE IN TERMS OF DSE