Imethibitishwa Dr. William Mgimwa amefariki dunia

Sheghwede

JF-Expert Member
Mar 30, 2013
277
195
Taarifa ya Channel Ten imetangaza habari hiyo, ikulu imetangaza na raisi katuma salamu za pole kwa PM
 

jogoolashamba

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
348
195
Kuna yeyote ambaye amefuatilia Dr. Mgimwa alianzaje kuumwa, na kutibiwa wapi halafu ndipo akahamishiwa Afrika ya Kusini?

Unajua haitusaidii sana kuzika wafu wetu na kuacha kuwafuatilia waliowauwa. Mara ya mwisho kulikuwa na tetesi kuwa Dr. Mgimwa alilishwa sumu.

Hata kama ni tetesi ni vizuri kujua ukweli kwa sababu kama kuna watembeza sumu mtaani si vizuri kuwaficha au kuwapuuza na kuacha wajulikane kwa watu wachache tu, hatari kwa wengine wasiowajua pia ipo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom