Imethibitishwa! Dereva hana makosa

Mi mwenyewe huo urojo sili. I'll ukitaka tende na halua ntakuletea. Lakini mpaka hubby wangu mshana akitoa ruhusa.
Shemeji mshana jr [emoji28] [emoji28] [emoji28] kuja hapa upesi, asehhh kumbe kijana wangu mshana hayupo mbali na fursa....
 
Shemeji mshana jr [emoji28] [emoji28] [emoji28] kuja hapa upesi, asehhh kumbe kijana wangu mshana hayupo mbali na fursa....
Hii ni ndoa pekee iliyodumu JF pamoja na mapito yote lakini tumeweza kusimama imara na mizizi ya malovee kuzidi kujikita mbali zaidi
 
Mamito niwie radhi bure sikuwa hewani ukimpelekea vipitie kwangu kwanza niviwekee ulinzi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ili uniroge nani asiye kujuwa mzee kalimanzila, urojo, tende ntavifuata mwenyeee [emoji23] [emoji23]
 
Hii ni ndoa pekee iliyodumu JF pamoja na mapito yote lakini tumeweza kusimama imara na mizizi ya malovee kuzidi kujikita mbali zaidi
Hahaha NDOA imedumu kwa kuwa anaogopa usije mnatisha huko akichepuka mzee kalimanzila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…