HORSE POWER
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 2,328
- 1,666
Ama kweli hamkani si shwari kwa Chama Cha Majizi.Wenye kujitambua hawana muda wa kusogea kwenye 'maonyesho' yao.
Zoa zoa na kusanya kusanya kwengineko kujaza mikutano sasa inakwenda mbali zaidi.Sasa ni kukusanya na wanafunzi kujaza mikutano bila ya kujali ni Jumapili au likizo.Nimejionea mwenyewe leo Dodoma.
Ama kweli hamkani si shwari.