Imenyakwa mahali hii!!

Kama anaona ulozi unafanya kazi, basi amroge X wake kuwa kila akimuona yeye amuone kama 'boifrendi' mpya
 
Sema wananaume na sisi vichwa Vigumu sana kila siku tunaambizana humu tusipende hivi vimwanamke vilivyo singo tule Madada Poa tu ili kupunguza Ugwadu lakini wapi!!

Huyu Maumivu kajitakia Madada poa wapo half yeye anaenda penda Toto la mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…