Imeniuma sanaa!

Imeniuma sanaa!

We tunza mimba yako na Mungu akikujalia lea mwana nina imani siku akiona zao la damu yake na kama anakupenda atajirudi na kuwapamoja nawe.
Pole.
 
Shameful on what grounds?! Watu kama nyinyi ndo huwa mnawakana ndugu zenu kisa wameenda kinyume na jamii, learn to embrace your mistakes and learn from them. In btw, my parents are very happy to have the opportunity to raise their grandchild because we are all grownup and away from home so having a young child running around the house gives them joy.
isha I like the way you analyze things.................
 
Last edited by a moderator:
Usikubal kutoa hyo mimba..kama jamaa yako hamtak Huyo mtoto aliyeko tumbon ujue hata wewe hakupend ila alikuwa anakutumia kumaliza shida zake...itunze mimba yako mtoto mmoja huwez kushndwa kumlea ndugu Yang.Mungu akupe ujasiri katika hili
 
asante.....ubarikiwe
 
Habari wanaMMU,......

Nimekua nae kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu, nampenda na niliamini ananipenda pia.

Mwezi huu nimejigundua kuwa Nina ujauzito wake, niliopomwambia anadai nitoe kwa kisingizio kuwa mimi niko shule( niko chuo kikuu).

Nikamjibu sitaweza, akanambia sawa ila yeye hatakua anawajibika kwa chochote kwa kuwa hataki kuwa na mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa
......naumia sana nikiwaza jinsi nilivyompenda na kumuamini, na sielewi ntalea vipi huyu mtoto bila ya baba yake

Pole sana mdogo wangu kwa mkasa uliokupata lakini kamwe kamwe usitoe mimba. Huwezi jua Mungu amekupangia watoto wangapi maishani mwako na pia utaishi na hiyo hali maisha yako yote. Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika hali ngumu unayopitia.
 
Shameful on what grounds?! Watu kama nyinyi ndo huwa mnawakana ndugu zenu kisa wameenda kinyume na jamii, learn to embrace your mistakes and learn from them. In btw, my parents are very happy to have the opportunity to raise their grandchild because we are all grownup and away from home so having a young child running around the house gives them joy.

on grounds za our creator!
infact premarital sex nayenyewe ni wrong na ndio imeleta huu mkasa. the popularity of a certain practice nd ur parents being happy raising their grandchild doesnt take away the shamefulness of the situation.

if we as society we have come to glamourize and extol all that is morally wrong all in the name of freedom of choice. this is wrong. ifike wakati tuwe wakweli na tukemee mabaya even if its our relatives involved
 
Pole sana mdogo wangu kwa mkasa uliokupata lakini kamwe kamwe usitoe mimba. Huwezi jua Mungu amekupangia watoto wangapi maishani mwako na pia utaishi na hiyo hali maisha yako yote. Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika hali ngumu unayopitia.

asante kaka yangu.....Mungu ni mwema siku zotee
 
aliyekwambia ukizaa hutapata wa kukuoa nani? nahisi ulibeba mimba kwa kuwa uliamini huyo ndo mume haswaa,na ndio kwa wasichana wengi inavyokuwa!sasa kama hataki wewe zaa,jipatie mwanao!mbona huwa wanarudigi hao tena huku wanatambaa?wadogo kama piriton,na wakati huo wewe maisha yamekunyookea ushampata anayejua thamani ya watoto!una bahati umefika hadi chuo kikuu,kwa hasira soma sana ufaulu mnomno,kama anadhani utafeli mshangaze!then maisha yatasonga mbele! usitoe kabisa hiyo mimba!
 
asante.....ubarikiwe

I know unavyojisikia....hebu nikupe hii;;
Nlipata mimba nkiwa form six nlifanikiwa kufanya necta na nkafaulu kwa grade 1

Nlizaa na nikaendelea na chuo huku nikimtunza mwanang kwa hela ya mkopo na biashara ndogo nikiwa chuo

Sasa nimemaliza,namsomesha mwanang shule nzur.baba yake aliyemkataa anaona aibu akimuona mwanae..

Nadhan umejifunza kitu hapa.
 
Labda jamaa hakuamini, labda anafikiri hakuwa peke yake kwa nini umuangushie zigo? Sasa dawa ni kumchallenge kuwa yeye ndiye anahusika na anatakiwa kuwajibika. Ukilemaa imekula kwako. Ataenda kwa dem mwingine na wewe utasahaulika in few moments

kila la kheri
 
I know unavyojisikia....hebu nikupe hii;;
Nlipata mimba nkiwa form six nlifanikiwa kufanya necta na nkafaulu kwa grade 1

Nlizaa na nikaendelea na chuo huku nikimtunza mwanang kwa hela ya mkopo na biashara ndogo nikiwa chuo

Sasa nimemaliza,namsomesha mwanang shule nzur.baba yake aliyemkataa anaona aibu akimuona mwanae..

Nadhan umejifunza kitu hapa.

asante pia kwa kuelewa hisia zangu, nmejifunza pia kupitia mkasa wako.....
 
sema tu JF where we dare to talk openly

Yaani i was just about to.......si unajua zile za kunyatia?yaani am shocked hadi mwisho!...

let me see kama naweza lea hivyo hivyo wa watu!
nilidhani hata kama kuna ishu labda angeniambia as niko hapahapa karibu yani!dah!
 
Wengi tulipata watoto tukiwa chuo kikuu. Masomo yalienda na maisha yalienda kigumu gumu lkn tulisurvive. Now watoto wanakaribia secondary. Nikimwamngalia mwanangu now sijuti kabisa na sijawahi kujuta.
 
Back
Top Bottom