Imeniuma sana

The very effective healer in this matter is TIME. She needs time to heal, to think over.
Inawezekana hajawahi kumwangalia mme wake kwa jicho la tatu....labda sasa ni wakati wa kufanya hivyo. Akishatuliza akili then anaweza kuamua kama bado anahitaji partneship ya aina hiyo....anahitaji muda kuona kama ataweza kumwamini tena huyo bwana......mostly anawahitaji sana watu wake wa karibu kupita katika mapito haya.

Kwa mtazamo wangu wanaume wanaofanya haya ni wale ambao wanahisi kwamba wao kuoa ni kama msaada mkubwa sana kwa mke....yaani ni favour yeye kuoa...
Huwezi kumtendea mabaya mshirika wako wa maisha..
..
 
tumeshapoa mami, ndio ukubwa huu! unajua Pearl jana nilikuwa namwangalia shem wangu anavyolia mie nabaki nashangaa tu, ananiambia cjui huyo mwanamke wake amempa nini mpaka akamtendea mke wangu maovu hivyo, anasema hataweza kuishi bila mke wake...atapambania ndoa yake hata haamishiwe wapi.


Hapo ndipo usanii unapoanzia. Lakini kwa vile mke wake amekataa kumfikisha kwa pilato, binafsi naamini hiyo ndoa haijafa. Hayo machozi ya mwanamume yatamliza hata mke wake na wote wataenda chumbani kuyafuta. Hapa ndipo suala la mapenzi lipopingana na theories/logic zingine za maisha ya kawaida. The drama has just begun, keep us informed.
 
ni frnd wangu wa kufa na kuzikana, ni yeye kila cku alikuwa ananicctiza kutoshika/jali cm ya mr akinisihi kama napenda nikae kwenye ndoa kwa amani nicjihucshe na mambo ya cm ya mr kama yeye anavyoiogopa cm ya mr wake, cjui juzi kitu kama kimemuingia wapo supermarket mr kasahau fone kwenye gari akasema ngoja niperuzi akakutana na msg ya kwanza kutoka kwa "my han' ndivyo ilivyoseviwa hivyo na msg ilkuwa inasema "my han naomba ukija upitie supermarket unichukulie vitu vya ndani vimeniishia".....mr karudi kwenye gari mke kamuuliza vizuri tu kuna mtu umem save my han, ni nani huyu mume wangu, mume hakujibu lolote kawasha gari mpaka home kufika kamkung'uta mke wake ipasavyo,, akawasha gari kaondoka bila maelezo yoyote na mpaka sasa hajulikani alipo, jana asubuhi frnd ndio ananical ananieleza yote haya, ana mimba ya miezi 4 akaniambia ameona kitu kama period hivi nikamwambia wahi hosp itakuwa ni mshtuko wa kipigo, namaliza kuongea nae housegal wake ananical ananimabia "dada" amezimia, kumbe alipigwa vibaya ameumia ndani kwa ndani sehemu za kichwa yupo KCMC amelazwa hajitambui na mimba imetoka, ndio nipo naelekea moshi kumuona.....hebu mniambei jamani tunakoelekea na hizi ndoa....nimebakia kulia tu nikiomba mungu nimkute salama....waume zutu hivi mnataka tuwafanyie lipi jema kwenu jamani, mliooa humu hebu niambieni kosa la huyu mdada kupata kipigo kikali hivi ni nini?
Huyo jamaa ni mshenzi na watu wa aina wanatoka kila kabila kwani tabia hii ni hulka.
Hata hao wakurya sidhani kama wanaweza kupiga wake zao kwa sababu hiyo.
Nanyi dada zetu kabla hamjajiingiza kwenye mahusiano ambayo yanafikia kwenye ndoa chunguzeni kwanza maana siku hizi mara nyingi mnaangalia pochi/hadhi nk [sisemi kuwa huyu dada naye yuko kwenye mkumbo huo]
WATU WA PWANI WANA MSEMO KUWA 'MWANAMKE HAPIGWI NA AKIPIGWA BASI HUPIGWA NA UPANDE WA KANGA.
 
...pamoja na yote,
sidhani kama hii ni mara ya kwanza mwanamke huyu kushushiwa kipondo na huyo mumewe, ndio maana alimuonya hata Babra asiiguse simu ya mumewe.
Ni bora kutokutia maneno mengi, wanajuana hao.
 
Back
Top Bottom