Imeniuma sana, Wanawake ni viumbe hatari kwakweli

Huyu uliye muongelea kama rafiki ni wewe kabisa, umeamua tu kuuweka uzi Indirectly,, pole sana kijana.
 
Wakati mwingine huyo jamaa yako anaweza kuwa anachotwa akili ili achunwe zaidi. Unakumbuka wale matapeli wanaotembea wakijifanya ni washamba, wamevaa manguo machafu machafu wakisema wameokota dhahabu na hawajui waipeleke wapi?
hahahahaha umenikumbusha wale wazee wa vichupa wakijifanya wametoka shinyanga, dah wameumiza sana watu pale Ubungo terminal.
 
Wake za watu wanatombwa sana mkuu kama ulikua hujui

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mambo ni mengi wakuu, chart 📈 ya kuchepuka inazidi kukweya viwango, movement ya kataa ndoa nayo haipo nyuma, ndoa ya kisheria imekuwa mzigo, 50/50 ni tatizo nowadays, Lakin ndoa ni taasisi muhimu kuianzisha japo si lazima.

LABDA HII STORI UTAPATA KITU UKIIPITIA, NAKUSIHI USIKATAE NDOA.

Kuna jamaa yangu (20's) aliachana na mke wake, japo hawakuoana kwa harusi na kukabidhiana vyeti. Alipata ajali (katika harakati za utafutaji) siku chache baada ya kuachana na mkewe. Na mtu pekee aliye msaada akawa ni mama yake mzazi (60's). Jamaa alisema alipofika hospital alitakiwa avuliwe nguo na kupewa nguo za pale hospital na kufanyiwa usafi wa mwili ikiwemo kumnyoa nywele za ikulu. Na mama wa mtoto aliyafanya yote hayo na zaidi ya hayo kama mtoto mchanga, mtu ambaye alipaswa kurudisha fadhila kwa wazazi. Na jukum hili alipaswa afanye wife.

NAWASILISHA WAKUU.
 

Kutembea nae kwenda wapi
 
Na majirani wanaume hali kadhalika!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa naye mmoja mumewe mtu wa masafa marefu,Jamaa akipiga simu, ananiambia tulia kwanza niongee na huyu Fala,hapo kaikalia.
Namshukuru Mungu niko salama,na staki tena Mke wa mtu.
Hiyo ipo sana mkuu, sasa umedate na mtu wa namna hiyo afu eti uje uumie kisa mkeo sio mwaminifu.
 
Mwanaume unaejua huyo ni mke wa mwanaume mwenzio na bado unamwendea wewe ni wakupiga mawe , mtu wa aina hii nikikuta anapigwa hata kama ndugu yangu na kuacha kwanza upate adabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…