Imeniuma sana, lakini nashukuru nimepata fundisho

Imeniuma sana, lakini nashukuru nimepata fundisho

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,848
Ndugu yangu alikuwa kwenye ndoa iliyodumu miaka 7 na kupata mtoto mmoja wa kike,kutokana na kutokuelewana kwa shemeji na ndugu yangu kwa makosa mazito na yama kusundi yaliyofanywa na mwanamke leo hii imefikia hatima ya kuachana na kugawana vitu na mali zote walizotafuta.

Baada ya kesi yao kusikilizwa na wazee wa pande zote mbili,ndugu yangu alikuwa ana nyumba, mashamba, fremu za maduka, zote zimepigwa mnada isipokuwa mashamba ndio wamegawana bila kuuza, mtoto aliwepewa nyumba walitenga kama biashara ya kulalia wageni pamoja na shamba.

Kwa tukio hili maisha yangu yatakuwa hivi:

1.Nitatafuta pesa kwa nguvu na akili zote.

2.Kuoa sitaoa lakini nitaajiri mwanamke kwa mkataba maalumu kama house girl ni nitakuwa namlipa kwa gharama,kazi ambayo atakuwa anaifanya ni kama ya mke.

Watoto atakaozaa ni himaya yangu, siku nikiamua kumfukuza kazi namfukuza kirahisi tu,nakuajiri mwingine kuna baadhi ya wanawake wanatafuta njia za kutokea kimaisha tu kwangu hawataniweza.
 
2, kuoa sitaoa likini nitaajili mwanamke kwa mkatamba maalumu(kama house girl) ni nitakuwa namlipa kwa garama tukazoelewana kazi ambayo atakuwa anaifanya ni kama ya mke.

siku nikiamua kumfukuza kazi namfukuza kirahisi tu, nakuajili mwingine.
​akili yako inafanana na ID name yako
 
Hahahahahhaha shy land katika ubora wake ...Halafu mbona una swaga kama za gogle au ndo wewe nini
 
Sasa wewe ndio unakosea kabisaaaa, yaani miaka saba ulitaka asipewe chochote? Yaani miaka saba hajazalisha? Ndio unachotaka kutuaminisha?
 
Sasa wewe ndio unakosea kabisaaaa, yaani miaka saba ulitaka asipewe chochote? Yaani miaka saba hajazalisha? Ndio unachotaka kutuaminisha?

Mkuu laiti kama ugekuwa unamjua huyu mwanamke shetani usigeandika hivyo, mwanamke amezisha matimbwili ndani ya nyumba lengo lake kuu wagawane akanzishe mirandi atakayoisimamiya yeye.

mkuu katika dunia hii ya sasa kama bado hujaoa tumia akili sana, kuna wanawake wenye akili kama za huyu wanaotafuta mwanya wakutokea kimaisha tu, kwa dhana yakuolewa.
 
Hahaaaaa kupanuka apanuke yeye leba halafu watoto wawe himaya yako!!!!!!!!!!!!!!
 
Mshahara mnono ndio malipo yake.

Hakuna pesa inaweza kulipa maumivu ya leba na hakuna mwanamke anaweza kukubali ujinga huo ,hata awe kichaa.

Mtoto na mama yake,hakuna mtoto na baba hata awe mkubwa kama wewe
 
Hakuna pesa inaweza kulipa maumivu ya leba na hakuna mwanamke anaweza kukubali ujinga huo ,hata awe kichaa.

Mtoto na mama yake,hakuna mtoto na baba hata awe mkubwa kama wewe

Katika tamanduni za kiafrika zilizo nyingi mwanaume anapoachana na mkwewe ndio huenda na watoto.

katika tamanduni za makabila ya kanda ya ziwa kuna desturi yakutoa poza ya mali nyingi sana
ikiwa na maana ya kwamba siku mwanamke akimua kuachana na mumewe watoto anawaacha na yeye anasepa kama alivyokuwa wakati anakuja kuolewa.

hasa mimi kosa langu liko wapi?? tena kwa kumuongezea zaidi namlipa na mshahara mnono. kwa nini asipatikane.
 
Kwa uandishi wako naona hauwafahamu wanawake,hilo la kugawana mali ni dogo sana ni kukukomoa tu
 
Usiache kuoa ila kabla hujafunga ndoa tafuta mwanasheria muandikishiane kila kitu. Mali zako zibaki kuwa zako mkiachana. Na za mke zibaki kuwa za mke mkiachana. Mali zitakazogawanywa ziwe zilizochumwa mkiwa pamoja..ikiwezekana weka na percentages kabisa anaezalisha mali nyingi na fungu lake la mgao liwe kubwa
 
Unaota ndoto atachukua nusu kwa nusu, kwani huyo hg si utazaa nae na kuishi nae na kulala nae so ni mke bila ndoa.
 
Usiache kuoa ila kabla hujafunga ndoa tafuta mwanasheria muandikishiane kila kitu. Mali zako zibaki kuwa zako mkiachana. Na za mke zibaki kuwa za mke mkiachana. Mali zitakazogawanywa ziwe zilizochumwa mkiwa pamoja..ikiwezekana weka na percentages kabisa anaezalisha mali nyingi na fungu lake la mgao liwe kubwa

Leo nimeamini sijakosea kuwa mwanamembe wa jf. Invisible na crew yako pongezi kwenu.

ushauri wa maana sana huu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom