Imeniuma sana kulipia huduma sijatumia

KOSA kubwa ulilofanya ni kulipa hao malaya pesa ya bure. Kama kweli ulilala nyumbani kwako na mkeo ni shahidi basi angeitwa kuja kuthibitisha. Vinginevyo huna akili ww
Duu? hivi mkuu ,,mkeo aje atoe ushahidi kama nililala kwangu au guest,,huoni kama ningezidi kujiletea matatizo?
1..Kwanza yule muhuni mwanamke angezinguwa zaidi?
2..Pili kitendo cha kushikwa na Malaya pale baada ya ugomvi kuisha ni lazima kungezuka ugomvi mwingine nyumbani na mke wangu..
3..yote kwa yote hata Kama angekuja mke wangu,,suluhisho ni lazima PESA itoke..
Mashahidi wanasema waliniona na yule Malaya usiku..
Bora nusu shari kuliko Shari kamili..
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Kwanza ww ni mjinga sana pili wewe ni muongo na hii ni chai tu.sisi tumawajua madada poa ,kamwe hawezi kulala na ww bila kumlipa kwanza wako makini sana, na hii ni stori tu umeleta hapa ili ujiftesh your mind.Acha uongo mwanaume wa dar.Mimi mwanaume wa mkoani nakwaambia hata polisi tungefikisha cwezi kukubali ujinga wa kiwango Kama hiki.nimemaliza
Mimi ni kweli naweza kuwa mjinga kama usemavyo ,,ila Mimi uongo kwangu mwiko,
Labda nikueleze kuwa kwnza hakuna sehemu nimesema nimekutana na Dada poa,nimesema nimepita sehemu ambapo kuna bar,,madada huwa wanadanga,,
Labda kutokana na kuwa wewe ni mwanaume wa mkoani ? Kama ulivyojitambulisha inawezekana hukuelewa kwa ufasaha neno kudanga,,
Kudanga sio kujiuza bali ni kutafuta mwanaume,,
Pili sio kila mwanamke ukilala nae basi anataka pesa zake atie kwenye pochi,,
Wapo wanawake utalala nae asubuhi utampa pesa za nauli au soup kutegemea na mlivyoongea,,au hata bila kuzungumza nae ,,,na wengine hata kiasi cha pesa hakwambii,,ni wewe na huruma yako kwake.
lakini kukikucha asubuhi utampa chochote bila hata kukuomba,,
Huyu Dada Mimi sikujuwa makubaliano ya yeye na aliyekuwa nae usiku huo kabla ya kukutana na mm asubuhi..yeye alinivamia na kunishika shati,,kwamba nilimkimbia,,
Hivyo basi ,,bado narudia tena kwamba kama ww huamini .mm sikulazimishi mkuu,,
Wapo watu kama wewe wanahoji vitu ambavyo vipo,,na vinatokea ,lakini sababu yeye hajakutana na tukio kama hilo basi anajiaminisha na kuwaaminisha wengine kuwa jambo hilo halipo,,sasa kama halipo ww shikilia hivyo hivyo,,
Siku yako ipo,, utaleta marejesho.
 
Chief nilikuwa nakuona mjanja sana kumbe, dah! Ungekubali kwenda polisi tu, kulinda heshima yako mbele ya mkweo vile vile bora ungekubali kesi kuliko kudhalilika na hela umetoa.
 
Wala mambo ya ndondi yasingekuwapo unamkataa tu kimtindo ila ulitishwa na mayowe yake na kukujazia nzi
Hao hao wanaume wenzangu wanasema be gentleman kaka,,mpe tu,,yatakuwa makubwa,,,
Dada nae kashupalia huku analia,, nimemuumiza sana,,na yeye kavumilia,, usiku yeye kalala nikakimbia sababu alikuwa kalewa,,sasa nimpe chake,,
Mkuu,,sikupenda kuendelea kupata aibu,,,nikamaliza tu...sio kesi..
 
Chief nilikuwa nakuona mjanja sana kumbe, dah! Ungekubali kwenda polisi tu, kulinda heshima yako mbele ya mkweo vile vile bora ungekubali kesi kuliko kudhalilika na hela umetoa.
Mkuu,,bora ujinga wangu kwa kutoa pesa,,kuliko hayo ambayo ningeyasubiri kutokea,,
Kwnz niwape pesa police,
Pili nitamlipa na yeye pia,,
Tatu muda wngu...nimemaliza kibaharia,,
Ila Nina jambo langu kwke,,sitoliacha lipite bure,,
Bado ujanja wngu upo pale pale,,
Nimepigana vita vingi na. Nimevishinda mkuu..
 
Muda ni mali, lakini pia rushwa pia ni adui wa haki, ungejikubalisha kwenda kituoni, si ujinga kufanya hivyo kwa maana kama hujawahi kulala nje kwanini uwe na khofu wakati shahidi wa kwanza ni mkeo? Asingekuacha angekutetea, kisha usiwe mwepesi kutoa kitu kidogo, komaa kiume kwenye haki yako. Usidhulumu na wala usikubali kudhulumiwa. Umafeli wapi?
 
Sawa mkuu
 
Nashawishika kudhani pengine ulimkopa siku za nyuma kesha ukasepa sasa hii ni part 2 kama bongo movie ni fikra tu ndugu yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom