Imeniuma mnooo ...

kUMRIDHISHA KILA MTU HAIWEZEKANI NA FURAHIA KWA KUMJUA MBAYA WAKO NA TUMIA MDA WAKO KUJISHUGULISHA NA VITU VYA KUKULETEA KIPATO NA HUYO JAMAA ACHANA NAYE NA UKIMWONA MSPE HI KAMA KAWA ILA SIRI NA MAMBO YAKO YA MSINGI MPOTEZEE
 
Call 991plzzzz kasinde...pole kwa majanga
 
Kasinde;
Hizo picha za Komba zinakuliza?? Si amesema ni za kuchonga?? Ngoja amkamate huyo pepo mchafuzi wako utatulia tuuuuu
 
hivi ndio wewe uliopiga picha na komba wa msituni....
 
pole Kasinde chukua likizo ya bila malipo

Asante let me see nikichukua likizo lazima nisafiri sada nataka nipate nyumva ilu nijue vitu vyangu navia ha kwenye nyumba salama.
 
Last edited by a moderator:
hivi ndio wewe uliopiga picha na komba wa msituni....

Wananizushia tuu sjui hata nimewakosea nini, yaani imenikost kazini na mtaani....
 
Kasinde;
Hizo picha za Komba zinakuliza?? Si amesema ni za kuchonga?? Ngoja amkamate huyo pepo mchafuzi wako utatulia tuuuuu

Zimeniletea matatizo makubwa we acha tuu
 
Hahahaaaa wewee ni mtundu eehh, asante najizoa zoa hivohivo ila moyo ukijeruhiwa daah unauma sanaa.
 
pole ila ungetaka kutuambia c useme yalokusibu?ka unamwambia nipigie kwa nn utulilie siye
 
Kasinde Huu ni ushauri wangu wa dhati kabisaaa, usiwalaumu hao unaohisi wanakuzushia jaribu kujichunguza wewe Kama kuna maeneo you need improvement, ukipeleka lawama kwa wengine hutayaona mapungufu yako.
Kwa ushauri zaidi njoo pm
 
Last edited by a moderator:
Naomba uwe crush yangu siku za jumatatu hasa wakati wa kwenda kazini

Mmmhhh whats so special with jumatatu? Tena wakati wa kwenda kazini.... mmmhhh!!! bora ungesema jioni.
Halafu crush nnavojua mimi hazipangwi zinakuja zenyewe tuu, hiyo unayosema wewe ni date...🙂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…