Mtu akiniumiza namcheka kisha naenda kuficha kulia peke yangu, usikubali kujishusha mbele ya adui yako. POLE.
Upo?....nimekumiss
Hapa nlipo nnamawazo, nipo kazini na siamini kilichotokea kama ni kweli. Mmmmmhhhh nashindwa hata kuendelea kusimulia maana macho yote yanabubujika machozi uuuhhhhhh iiiihhhhhh :crying::crying::crying::crying:
Yaani nimeumizwa moyo mnoo, sijui hata kama ntaweza kufanya kazi leo am so down!!!
Hakuna mtu mbaya kama mnafiki, ni zaidi ya muuaji, wanifanyia unafiki mtaani hadi kazini daaah!!!!
uuuhh moyo unauma jamani.......:crying::crying::crying::crying::crying:........
niombeeni tuu
Sikujua kuwa watu hawanipendi kiasi hiki, wamenifitini mtani ninakokaa na kazini. Yaani wamemtafuta mwenyenyumba yangu nilikopanga na kumjaza maneno ya uongo, mwenye nyumba kaja leo alfajiri kaniambia nitafute nyumba kwingine baada ya miezi 3 nimrudishie nyumba yake, Akaondoka kodi yangu ilikuwa inaisha mwezi ujao hapa nilikuwa najipanga nimpelekee kodi ndo haya yamenifika. Nawaza jinsi ilivotabu kupata nyumba inayokidhi viwango......
Kufika kazini nikiwa na mawazo kibao nikaitwa na bosi daaah, nimepewa lawama za uongo si mimi niliyefanya hayo nikajaribu kumueleza bosi kuwa hayo ni makosa ya secretary na watu wa idara ingine bosi kamaka na kusema ripoti zote zinaonesha mimi ndo nimesababisha ofc ikakosa hiyo tenda na hivo kusababishia kampuni loss. Daaah nimeumia na nimevunjika moyo wa kufanya kazi mnoo.
Hapo ulipoishia kunimiss mi nimeendele mbeke zaidi...yaani kwa hivi...
JF katika jina la MMU,
Namleta mbele yako Kasinde mtaalam wa clashes,
Ninaomba JF umfungue mtaalam huyu kwa jina la mwanao MMU,
Ili aweze kueleza/kufunguka/kutiririka juu ya hao wamfanyiao unafiki mtaani hadi kazini,
Yawezekana wanatamani sana baba JF clashes za mtumishi wako mtiifu kwa vibamia,
Wewe ndiye pekee unayeweza kushughulika nao, lakini si kwa ajili ya kisasi maana kisasi hakitampa furaha bali maumivu,
Umjaalie mwanao huyu furaha na amani katika mwisho wa wiki huu ili aendelee kuwa wa faraja kwa thithi wenye vibamia,
Asahau kabisa wale walioficha vimiguu vya watoto katika sarawili sao maana nao bado wanamtazama kwa jicho la husda memba wako huyu na si ajabu ndio hao bado wanatafuta clashes naye!
Si vema JF kuleta maombi marefu mbele zako maana ni wengi waletao mada zao kwako hata za kitoto na zisizostahiki katika jukwaa hili, nahitimisha na soote tusemeee ...............!
Yani hutakiwi kumuonyesha mbaya wako kama umeumia,ukienda job kua ngangari,ukifika home jifungie ulie hasira ziishe
Wacha wee....taratibu nisije nikahamisha majeshi