Imeniuma mnooo ...

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,230
Hapa nlipo nnamawazo, nipo kazini na siamini kilichotokea kama ni kweli. Mmmmmhhhh nashindwa hata kuendelea kusimulia maana macho yote yanabubujika machozi uuuhhhhhh iiiihhhhhh :crying::crying::crying::crying:

Yaani nimeumizwa moyo mnoo, sijui hata kama ntaweza kufanya kazi leo am so down!!!
Hakuna mtu mbaya kama mnafiki, ni zaidi ya muuaji, wanifanyia unafiki mtaani hadi kazini daaah!!!!
uuuhh moyo unauma jamani.......:crying::crying::crying::crying::crying:........
niombeeni tuu
 

Hii hekaya yako mbona haieleweki?
 
Ndio unajua leo mbona ni wengi na wapo kila kona.
 
Pole..jipe moyo usilie maana huyo anayekufanya ulie anapenda kukuona ukilia so usimpe nafasi ya kujisifu alivyokuumiza
 
What is wrong kasinde? Umechukuliwa microphone yako nini na hao wanafiki.
 
Poleee,ucjal wanadamu ndo walivoo,ignore them then maisha yanaenda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…