Kwa nini ulikaanga lakini?
Bado upo zama za kale, kuna magroup hadi ya kupost vyakula kama rate my plateSasa ulishindwa nini kununua hata unga robot ujisongee kaugali?
Mimi siwezi post vyakula kwenye mitandao coz huo ni ushamba
Acha watu wapost chochote ili mradi hawavunji Sheria,unajiona mjaaanja mwenyeweSasa ulishindwa nini kununua hata unga robot ujisongee kaugali?
Mimi siwezi post vyakula kwenye mitandao coz huo ni ushamba
Shushia
Acha watu wapost chochote ili mradi hawavunji Sheria,unajiona mjaaanja mwenyewe
I shall never entertain such kind of backwardness.Acha watu wapost chochote ili mradi hawavunji Sheria,unajiona mjaaanja mwenyewe
Labda ni kwasababu huko Kenya kuna chakula kidogo inaonekana ni luxuryI shall never entertain such kind of backwardness.
Mwanaume mzima unapost chakula kwenye mitandao 😏