Imenisikitisha sana hii...

kama mzazi anafahamika tumshitaki,
naomba kuelewa, uwezekano wa kumpata huyo mzazi ukoje, kwani usipochukua hatua mtoto huyo atakuja kuwa chachu ya kupotosha mwanao.

Mkuu, nimeivuta tu hii picha toka chanzo chake kwa maoni ya wadau.

Mzazi wa mtoto huyu anafahamika kabisa na ni mdada maalufu sana Bongo Dar es salaama. ukitaka kumjua ni nani, we bonyeza hiyo picha itakufikisha katika tarifa zote za mzazi aliyetundika hii picha ya mwanae hewani asijue maana yake kwa mtoto huyu mdogo masikini.

Inasikitisha waungwana kama kweli unawajali na kuwalinda watoto.
 
Back
Top Bottom