Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,900
- 28,012
Ni ndotoAna mipango na wewe...!! Angekuwa mpitaji asingeziacha...!
Ni ndotoAna mipango na wewe...!! Angekuwa mpitaji asingeziacha...!
Ni ndoto
Yule jirani yako msukuma alinisumbua nikaamua kuhama mtaa


ngoja nimtag aje huku!ngoja nimtag aje huku!
brain is the beautiful part of the body.






Bwana sitaki usumbufu mie, mie nimetoa angalizo vitu vingine napewa majukumu mengine wewe unadhani nilifurahia![]()

kumbe wewe mpole ivo ee, hujafurahi halafu humwambii....??Siwezi bora nikimbie tuukumbe wewe mpole ivo ee, hujafurahi halafu humwambii....??



Bora ungenambia nkakusaidia maana usikute uko unakokimbilia ndo kakungojea hukohuko.Siwezi bora nikimbie tuu![]()
Bora ungenambia nkakusaidia maana usikute uko unakokimbilia ndo kakungojea hukohuko.Siwezi bora nikimbie tuu![]()
Hawezi siunajua bado ni mgeniBora ungenambia nkakusaidia maana usikute uko unakokimbilia ndo kakungojea hukohuko.
Kabisa na hajui kinachoendelea humu.Hawezi siunajua bado ni mgeni
Hujalala tu neema au leo mkesha?Hawezi siunajua bado ni mgeni
Yeah leo mkesha best acha kabisaHujalala tu neema au leo mkesha?
Hahahahahaaaaa... asante mkuu wa onyo...Usirudie tena kuota ndoto kama hio
kuna wakwanza kuwahi na wakwanza kuchelewababa unaelekea hata darasani ulikua mtu wa kwanza tu
Hata mimi imenishtua sana
Be the first to replay joseverest
![]()
Be the first to replay joseverest
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
