Imekula KWENU

Naby Keita

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
10,716
15,275
Supasta alipopata mkwanja
akaamua kuhamia Masaki na
mke
na mwanae. Siku moja
mwanae
alipokuwa anacheza na
manati
akavunja kioo cha nyumba ya
jirani. Supastar na mkewe
wakaamua kumfuata mwenye
nyumba wakamuombe
msamaha.
Walipogonga mlango
akafukua
mbaba mmoja;
MBABA: karibuni
SUPASTA: Samahani sie
tumehamia karibuni nyumba
ya
jirani, mwanetu kavunja kioo
chako kwa bahati mbaya,
tumekuja kuomba msamaha
na
kuona kama tunaweza
kutengeneza
MBABA: Karibuni kwenye kiti
niwahadithie kitu. Kwanza
mimi
nawashukuru nyinyi. Mimi ni
ZIMWI nilikuwa nimefungiwa
kwa
zaidi ya miaka 200 kwenye
kichupa kilikuwa kwenye kile
chumba ambacho dirisha
limevunjwa, chupa nayo
imevunjika nami nimekuwa
huru,
kwa hiyo kwa shukurani
ombeni
chochote mtakacho nitawapa
SUPASTAA:Mi naomba niwe
bilionea mpaka nife
MBABA: Hilo jambo dogo
sana
kwangu, umepata na kesho
utaamka tajiri
MKE WA SUPASTA: Mi
nataka niwe
na nyumba kila nchi duniani
na
niwe na biashara Dubai na
China
na HongKong
MBABA:Umepata kuanzia
kesho
hayo ni yako. Mimi
nawashukuru
kwa uhuru wangu lakini nina
ombi dogo.
SUPASTAA: Sema tu
MBABA: Mi naomba nilale na
mkeo
leo tu, unajua kifungo
nilichofungwa kilinizuia kila
kitu.
Asubuhi ikifika hamtaniona
tena,
itakuwa siri yetu
Supasta na mkewe
wakajadili,
wakaona utajiri waliopata ni
mkubwa sana hilo jambo ni
dogo
wakakubali sharti. Mke
akalala
kwa Mbaba mpaka asubuhi.
Wakati mke akijitayarisha
kurudi
kwake Mbaba akakohoa
kidogo;
MBABA: We una miaka
mingapi na
mumeo ana miaka mingapi??
MKE: Mume wangu 32 na
mimi 30
MBABA: Sasa nyinyi wakubwa
wazima mpaka leo mnaamini
stori
za MAZIMWI?
:Cry:
 
Duh! Kweli utajiri noma, yan unamwachia mkeo hiv hivi akaliwe... Teheee teheeee.....
 
Back
Top Bottom