Imekula kwake

Imekula kwake

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,362
Jamaa kakosea,baada ya msg kutuma kwa hawara katuma kwa mama mkwe! ilikuwa inasema,''Mi nakupenda nimevumilia nimeshindwa nimeona nikwambie ya moyoni,naomba tuwe wapenzi mke wangu hawezi kujua'''Wakati anatafakari atafanyaje jibu likaja kutoka kwa mama mkwe ''nami nakupenda,ungechelewa ningekwambia mimi,maana huwa ukiwa na mwanangu mi ndo nadata mpenzi,leo usiku uje'....dah
 
kwikwikwkwiwkwiwkwiwkwwkwiwkwiwkwiiiiiiiiiiii mbavu zangu mie angeikimbiza..
 
kifaranga na kuku zote ni nyama. Kula noma zaidi kifaranga kkijua.
 
Inaonekana wewe na Mama mkwe wako mna damu zinazofanana makundi pia wote naamini ni Ccm kwani hamna aibu.
 
Hahahahahaaa,,,, Huyo imekula kwake mazima wallahi!!!!!!!
 
Mhhhhhhhhhhhhhh! hata sijui kama nimeisoma thread yako au naota, hata sijui!
 
Mh i think is just a jock but in reality ngumu sana kutokea
 
Back
Top Bottom