Imekuaje wanaume mmepunguza kuhonga

Ukiwa na pesa inapunguza hata papuchi kukutana na vitu visivyo size yake 🀣🀣🀣
Huyo hana tofauti na wa sate sauzandi
Bado hujasahau tu jirani 🀣🀣🀣🀣🀭
 
Kwakweli tunatakiwa kupambana kwelikweli huko nje jua ni kali sana aisee πŸ˜‚
Yaani wanawake wengine wanatia aibu wanalazimisha kupewa pesa na wanaume utasema waliwapa wawatunzie bladfakeni🀣🀣🀣
Si wawe straight waseme nauza dau langu kiasi kadhaa wanaume wawaelewe 🀣🀣🀣
 
Yaani wanawake wengine wanatia aibu wanalazimisha kupewa pesa na wanaume utasema waliwapa wawatunzie bladfakeni🀣🀣🀣
Si wawe straight waseme nauza dau langu kiasi kadhaa wanaume wawaelewe 🀣🀣🀣
Ila aibu jamaniπŸ€­πŸ€­πŸ˜‚... huyu atakua sio mdada jirani tuwe nae makini tu🀣🀣🀣
 
🀣🀣🀣 Mpk nakufa naibukia peponi sisahau
Hawa ndo wana Jf sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚... hivi sikuile alitajwa mtu kwani?. Maana nina mengi natamani niyajue πŸ˜‚πŸ™ˆ
 
Ukiwa na pesa inapunguza hata papuchi kukutana na vitu visivyo size yake 🀣🀣🀣
Huyo hana tofauti na wa sate sauzandi
πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£ hv mtu unapokeaje sate au hamsini inatosha nn jamani
Hata sauna tu haitoshi...cheap labour kweli huyu
Hebu atafute hela zake
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£ hv mtu unapokeaje sate au hamsini inatosha nn jamani
Hata sauna tu haitoshi...cheap labour kweli huyu
Hebu atafute hela zake
Mwenyewe nashangaa vihela mbuzi ndio vikutoe thamani kweli? Kwanza hiyo pesa ya mboga tunamuachia dada home 🀣🀣🀣
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…