Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,838
- 38,729
Naishangaa sana hii TFF, Yanga ndio timu yenye viporo vingi kwenye ligi kwasasa lakini cha kushangaza timu ambazo hazina viporo kama Simaba anacheza leo na Namungo then Jumamosi anacheza tena.
Pia Mtibwa na Azam wakutana kesho, mbaya zaidi Mtibwa anacheza kesho halafu Jumapili anacheza na Yanga. Huku Yanga tangu amalize kucheza match ya FA Jumapili ya juzi hana match yoyote kwa wiki nzima mpaka Jumapili atakapocheza na Mtibwa.
Na hapo hapo Simba kwa hii wiki atacheza match mbili wakati Yanga hajacheza hata moja. Je, TFF wana lengo gani, kupanga matokeo au kuna lingine nyuma ya pazia?
Sent using Jamii Forums mobile app