Imekaaje Serikali kuingia ubia na CCM kukarabati viwanja vya CCM?

Usijali kamanda, tutaomba watujengee na sisi hata ofisi ya chama chetu.
 
Unaweza kutofautisha tanu na ccm ni shiling moja yenye pande mbili ukisema tanu wamejenga na sio ccm na wana tanu ndio walichangia pesa za kujenga uko sahihi tanu baadae ikawa ccm kwa kauli moja tuseme wanatanu ndio walichangia baadae ikaja ccm kwa hiyo tunakubaliana ni mali ya ccm ambayo zaman ilikua tanu.sawasawaa
Kabla ya Uhuru mkoloni alijenga viwanja kwenye kila mji mkubwa lakini tulipoingia mfumo wa vyama vingi CCM ikakwapua viwanja hivyo leo CCM inakwapua pesa za serikali kukarabati viwanja vilivyowashinda, huu ni ukiukaji wa sheria za nchi kuhusu matumizi ya fedha.
 
Unajua maana ya ubia na Serikali

Viwanja hivyo vitasaidia Serikali kuongeza Mapato kupitia ubia
Mapato ya CCM yaongezwe kwa fedha za umma?
Hivyo viwanja vilikuwa vya umma,CCM ikavipora kabla/wakati wa kurejea kwenye mfumo wa vyama vingi halafu miaka 30 baada ya kuvichakaza chakari ukarabati wake ufanywe kwa fedha za umma tena?Hivi huwa mnapeleka wapi fedha mnazokusanya kwenye milango na fremu za viwanjani?
Hekima ni kuvirejesha kwa wamiliki halali,waviendeleze kuliko huu uwendawazimu wa hujuma za mali za umma.
Tudai Katiba Mpya ya Wananchi.CCM imekwama kila idara.
 
Hii imekaaje kwa Serikali kutumia pesa za umma kukarabati viwanja ambavyo CCM ilishirikiana na serikali kupora viwanja vya umma ambavyo ni wazi CCM wameshindwa kuvitunza na sasa CCM inataka kutumia pesa za umma kuvikarabati, haiingii akilini CCM ambayo kila mwezi inachukua mabilioni ya pesa za umma baada ya kujipa ushindi wa viti vyote vya wabunge na madiwani kutuambia haina uwezo kuvikarabati.

Hii haikubaliki ni hujuma.
 
MADA ZA KIPUMBAVU KUJADIALIANA HAPA.
UMESHASEMA UBIA SASA UNAULIZA NINI WEWE MWEHU??
 
UUn
Imekaa hivi viwanja ni mali ya CCM ndio ilijenga CHADEMA hawajenga hata uwanja mmoja ofisi tu imewashinda kujenga ,pili Serikal inapata mapato asilimia flani inaenda kwenye mapato ya Serikali, tatu Serikali inataka AFCON ichezewe Tanzania, nne ni jukumu la Serikali kuboresha mazingira ya viwanja nchini.
Huna akili kabisa CCM haijawahi kujenga uwanja bali ilopora viwanja vya umma vilivyojengwa kwa nguvu zetu wakati wa udikteta wa chama kimoja
 
ACHA KUPOTOSHA MAPATO YOTE YANAENDA CCM KULIPA MISHAHARA WATENDAJI WAKE ni Matumizi mabaya ya Kodi za Wananchi CCM INAPATA RUZUKU KUBWA BUNGENI kwanini unitumie Kukarabati Viwanja inavyodai ni vyake?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Viwanja vyake kivipi wakati wananchi walitozwa kwenye nauli wakati hata sio wanachama wa chama hicho?
 
Mapato ya CCM yaongezwe kwa fedha za umma?
Hivyo viwanja vilikuwa vya umma,CCM ikavipora kabla/wakati wa kurejea kwenye mfumo wa vyama vingi halafu miaka 30 baada ya kuvichakaza chakari ukarabati wake ufanywe kwa fedha za umma tena?Hivi huwa mnapeleka wapi fedha mnazokusanya kwenye milango na fremu za viwanjani?
Hekima ni kuvirejesha kwa wamiliki halali,waviendeleze kuliko huu uwendawazimu wa hujuma za mali za umma.
Tudai Katiba Mpya ya Wananchi.CCM imekwama kila idara.
Point taken
 
Back
Top Bottom