Imegundulika kwenye sakata la Askofu Gwajima!

Imegundulika kwenye sakata la Askofu Gwajima!

Status
Not open for further replies.

kjohn

Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
7
Reaction score
13
Imetusikitisha sana kumbe nyuma ya kashfa alikuwa akidaiwa Askofu Gwajima juu ya Kardali Pengo ilikuwa ni ufunguo tu wa serikali kuingilia Imani na Utendaji wa Viongozi wa kidini (Askofu Gwajima) Iweje kashfa iliyokuwa inamuhusisha Kardinali Pengo na Askofu Gwajima ipelekee kuhojiwa na Kudaiwa alete nyaraka zinazohusiana na mapato na matumizi ya Kanisa la ufufuo na uzima, Kwani makanisa huwendeshwa na ruzuku kutoka serikalini !?, Je!

Kuna kanisa au dhehebu lolote la kidini wawe waislam au wakristo wameisha wahi kuhojiwa kuhusu mapato na matumizi ya madhehebu(makanisa/misikiti) yao!?

Wanapohoji nyaraka za helicopter kwani! Iliingia nchini kwa uficho!?.... Kwanini wasiene kuuliza TRA kama helicopter hiyo haikulipiwa ushuru !?

Kumbe tumegundua serikali na wanasiasa walioko madarakani wanaajenda ya siri juu ya Askofu Gwajima. Nchi yetu ina mambo mengi ya kushughulikiwa na serikali ili kutatua matatizo ya wananchi kama vile vifo vya albino, migogoro ya wakulima na wafugaji, matumizi mabaya ya fedha(ESCROW) na mikataba mibovu isiyo na manufaa kwa mtanzania mmoja mmoja .

Mambo kama haya yangekuwa yanafuatiliwa kwa karibu kama anavyofuatiliwa Askofu Gwajima ingeleta tija kwa uongozi uliopo madarakani na Imani kwa wananchi juu ya serikali yao.

NIA YA WAZI YA SERIKALI IMEJULIKANA

  1. WANAKUSUDIA KUMUANGAMIZA ASKOFU GWAJIMA KWA GHARAMA YEYOTE KABLA YA KAMPENI YA URAIS, WABUNGE NA MADIWANI KUFANYIKA.
  2. ASKOFU GWAJIMA AMEINGIZWA KATIKA ORODHA YA VIONGOZI WA KIJAMII WASIOTAKIWA KUWA HAI HAPA TANZANIA, AKIWEMO DR. SLAA NA LOWASA .
  3. NI KUCHOCHEA VURUGU KATI YA WAISLAMU NA WAKRISTO.
 
Askofu Gwajima kuhojiwa na Kudaiwa alete nyaraka zinazohusiana na mapato na matumizi ya Kanisa la ufufuo na uzima, Kwani makanisa huwendeshwa na ruzuku kutoka serikalini !?

Hela za kanisa ni hela za umma kama ambavyo za serikali ni za umma.Huwa kila kanisa lililolosajiliwa lina wajibika kuandaa mahesabu ya kila mwaka ya fedha na mali na ripoti za utendaji na kuzipeleka kwa msajili aliyetoa usajili.

Kama hesabu hizo zilikuwa haziandaliwi na kukaguliwa na wakaguzi wa nje analo bichi zima zima.
 
Kama ni kiongozi wa nuru kama anavyodai, hana cha kuhofia. Lakini kama ni wa giza, na aubebe msalaba wake. Hata kama ni mfanyabiashara na biashara yako ni safi wala huwezi kuihofia serikali/TRA.
 
Imetusikitisha sana kumbe nyuma ya kashfa alikuwa akidaiwa Askofu Gwajima juu ya Kardali Pengo ilikuwa ni ufunguo tu wa serikali kuingilia Imani na Utendaji wa Viongozi wa kidini (Askofu Gwajima) Iweje kashfa iliyokuwa inamuhusisha Kardinali Pengo na Askofu Gwajima ipelekee kuhojiwa na Kudaiwa alete nyaraka zinazohusiana na mapato na matumizi ya Kanisa la ufufuo na uzima, Kwani makanisa huwendeshwa na ruzuku kutoka serikalini !?, Je! Kuna kanisa au dhehebu lolote la kidini wawe waislam au wakristo wameisha wahi kuhojiwa kuhusu mapato na matumizi ya madhehebu(makanisa/misikiti) yao!?.... Wanapohoji nyaraka za helicopter kwani! Iliingia nchini kwa uficho!?.... Kwanini wasiene kuuliza TRA kama helicopter hiyo haikulipiwa ushuru !?.....Kumbe tumegundua serikali na wanasiasa walioko madarakani wanaajenda ya siri juu ya Askofu Gwajima. Nchi yetu ina mambo mengi ya kushughulikiwa na serikali ili kutatua matatizo ya wananchi kama vile vifo vya albino, migogoro ya wakulima na wafugaji, matumizi mabaya ya fedha(ESCROW) na mikataba mibovu isiyo na manufaa kwa mtanzania mmoja mmoja . Mambo kama haya yangekuwa yanafuatiliwa kwa karibu kama anavyofuatiliwa Askofu Gwajima ingeleta tija kwa uongozi uliopo madarakani na Imani kwa wananchi juu ya serikali yao.
NIA YA WAZI YA SERIKALI IMEJULIKANA
  1. WANAKUSUDIA KUMUANGAMIZA ASKOFU GWAJIMA KWA GHARAMA YEYOTE KABLA YA KAMPENI YA URAIS, WABUNGE NA MADIWANI KUFANYIKA.
  2. ASKOFU GWAJIMA AMEINGIZWA KATIKA ORODHA YA VIONGOZI WA KIJAMII WASIOTAKIWA KUWA HAI HAPA TANZANIA, AKIWEMO DR. SLAA NA LOWASA .
  3. NI KUCHOCHEA VURUGU KATI YA WAISLAMU NA WAKRISTO.

Kimsingi huyo askofu wenu ni mtu wa tamaa, ni mjinga na hana maono.
Yohana mbatizaji aliishi jangwani na kuhubiri watu na kuwabatiza.
Huyu Gwajima katika karne hii ana nunua helikopta na magari ya kifahari zinazodhihirisha tamaa.
Minong'ono ya Flora Mbasha tu haijaisha.
Kanisa hajajenga

Sasa siye wananchi wengine lazima tujue hiyo kiburi anaitoa wapi.
Sheria za nchi lazima ziheshimiwe
 
Gwajima ni shetani....matendo yake ya kishetani....maisha yake ya kifahari kupitiliza ya kishetani....muumini wa Mungu haishi kama yeye...!!!

Gwajima anahusika na drug deals....Polisi wanajua hilo sana tu..ndio maana Gwajima anatetemeka sana kuelezea mapato yake kihalali..polisi wanajua anahusikana na madawa ya kulevya...so wameanza step by step...na watamkamata....keep tuned..!!! Gwajima hana makanisa...hana hata jengo la kanisa...Askofu gani asiye na makanisa hata mikoani..hata hapa Dar hana kanisa...ndio ujiulize...where is he getting all monies while his FOLLOWERS NI MASKINI WA KUTUPA...waumini wake 98% ni maskini wa mlo mmoja..

Isitoshe, Gwajima alikuwa analiona ROMAN CATHOLIC JUU JUU TU... sasa ndio atajua RC ni kitu hatari sana duniani...he will perish soon...!!! RC si mchezo, very soon atapotea kabisa..na mali zake zooooote zitakamatwa...tht will be the end of Gwajima..!!!
 
Shetani na mawakala wako wa kuzimu;acheni "KUPOTOSHA UKWELI" kama Baba askofu Kakobe alivyosema katika ujumbe wa Pasaka.
 
Kimsingi huyo askofu wenu ni mtu wa tamaa, ni mjinga na hana maono.
Yohana mbatizaji aliishi jangwani na kuhubiri watu na kuwabatiza.
Huyu Gwajima katika karne hii ana nunua helikopta na magari ya kifahari zinazodhihirisha tamaa.
Minong'ona ya Flora Mbasha tu haijaisha.
Kanisa hajajenga

Sasa siye wananchi wengine lazima tujue hiyo kibuti anaitoa wapi.
Sheria za nchi lazima ziheshimiwe

Ni sheria ipi aliyoivunja Askofu gwajima??
Uaskofu wa Pengo una lipi la maana kumzidi Gwajima hadi asikemewe. Huyo Pengo katika historia ya utumishi wake katika dini ulishawahi kusikia popote pale ameombea hata mtu mwenye kajini maimuna tu kakatoka!!??

Na kama kweli we siyo LINAFIKI na unataka sheria za nchi zifuatwe mbona hauonekani kutaka MAJIZI ya EPA, KAGODA, DEEP GREEN, RADER, NDEGE YA RAIS, BUZWAGI, MISHAHARA HEWA na ESCROW yafikishwe kwenye vyombo vya sheria
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom