Imegundulika!!! Kwanini wanawake wanatoka nje ya ndoa?

Kwa Habari ya uaminifu ktk ndoa nionavyo mimi ni kwamba watu HAWANA HOFU YA MUNGU ndani ya mioyo yao

Tuna tafuta sababu mbalimbali za kuhalalisha , mara mume hanitunzi , mara mke hanijali , haniheshimu, Vyote ni visababu tu

TUWE NA HOFU YA MUNGU NDANI MWETU Ndipo tutaona mabadiliko

MUNGU ATUFUNULIE HAYA ili TUISHI KAMA INAVYOMPENDEZA YEYE
 
1. kutotimiziwa mahitaji yao muhimu likiwemo la mapenzi
2. wengine ni hulka na tamaa ya vitu au pesa
3. pepo wa ngono
 
Mke mwema kama haumfikishi atakaa na wewe mtazungumza na kupata jawabu

Mke mwema hufahamu na ukubali kuishi kulingana na kipato cha familia

Mke mwema hubadilika kama unamnyanyasa kupita kiasi, haumheshimu na humshirikishi kwenye maamuzi ya msingi

Ukihisi mke wako anatoka nje ya ndoa na hakuna tatizo kati ya hayo juu, ujue ana tamaa na uzinzi ni jadi yake. Muombe Mungu.
 
Back
Top Bottom