Imefikia hatua sioni tena Radha ya

Imefikia hatua sioni tena Radha ya

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Sijui ni wakati napitia au ndio sasa zimezoeleka baada ya kuzichakata sana,

Sasa hivi imefikia hatua sioni /sipati tena radha ya mbususu, ninafanya tu kwa sababu ya tamaa, vile nikiona makalio makubwa shape na N.K

ila sipati!/sioni tena utamu mimi ni shwaaaaa shwaaaaa tu,.

Sijui nijipe break, sijui ata cha kufanya



Cc Zero

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Zero IQ mbususu za Dodoma hazina ladha kbsa lzma ukose test mbususu zimeng'olewa G sport iyo ladha labda upige nyeto, nyumba iking'olewa mlango na madirisha inaitwa pagale ndy mbususu za Dodoma
 
Naskia mtu akikarbia kupoteza uhai huwa anapoteza interest na vitu vilivokuwa vinampa furaha hapo mwanzo[emoji23](joke)

Kitu chochote
Mtu yeyeto
Mahali popote
Cheo chechote
Dem yeyote
Mchezo wowote
Chakula chechote


Mvuto unapotea ukispend sana mda mwingi na kitu kimoja,,so i suggest jipe time afu Rudi kwenye game[emoji16]
 
Sijui ni wakati napitia au ndio sasa zimezoeleka baada ya kuzichakata sana,

Sasa hivi imefikia hatua sioni /sipati tena radha ya mbususu, ninafanya tu kwa sababu ya tamaa, vile nikiona makalio makubwa shape na N.K

ila sipati!/sioni tena utamu mimi ni shwaaaaa shwaaaaa tu,.

Sijui nijipe break, sijui ata cha kufanya



Cc Zero

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Kula break mkuu,
 
Back
Top Bottom