Imebaki bunge tu, we need vote of no confidence to Mr. President

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,903
4,051
Sisi wananchi ndio tunawapa mamlaka ya kuisimamia serikali ikiwa serikali haitaki kusimamiwa Na bunge basi imekosa uhalali wa kuendelea kuwepo.

Bunge ndio check and balance ya serikali, serikali haitambui uwezo wenu wabunge.

Bila kujali CCM ,Ukawa, ACT tuwe kama waziri Nape Utaifa kwanza.

Tupige vote of no confidence kwa rais twende kwenye uchaguzi kwa ajili ya mama Tanzania.
 
Screenshot_20170323-073031.jpg
 
Huyu bwana atapita tu na ataondoka kama aliondoka firauni sembuse magufuli atafnya yake na ataondoka tu muda wake ukiisha
 
hawa wabunge waliohongwa 10m kupitisha sheria ya ovyo..that can't happen,wabunge wa ccm wana njaa kali sana
 
Sisi wananchi ndio tunawapa maamlaka ya kuisimamia serikali. ikiwa serikali haitaki kusimamiwa Na bunge basi imekosa uhalali WA kuendelea kuwepo.

bunge ndio check and balance ya serikali. serikali haitambui uwezo wenu wabunge.

bila kujali CCM ,Ukawa, ACT tuwe kama waziri Nape Utaifa kwanaza.

tupige vote of no confidence kwa raisi twende kwenye uchaguzi kwa ajili ya mama Tanzania
Tatizo ni nani atakua wa kwanza kuanzisha hoja hiyo? Kwasasa mazingira yetu nadhani kuna roho mchafu anatamalaki, hebu fikiria kulikua na tetesi kwamba PHD ya mtu flani ni ya uongo ndiyo maana uwezo wake hata kujieleza umekua wa kusikitisha, basi kuna jamaa akajitokeza wazi wazi kulivalia njuga swala la PHD hiyo, kwa bahati mbaya akapotea mpaka leo hatujui kama yuhai ama la, haikukaa mda mrefu sana kuna mtu aliota ndoto mbaya kumhusu mtu huyo huyo ikamtokea bahati Mbaya akakaa rumande kama miezi mitatu, na waliokua wanataka kwenda kumjulia hali inasemekana wakatishwa. je katika mazingira hayo nani atakua wa kwanza kuanzisha hii hoja?
 
Tangu Magufuli atumbue TRA na Bandarini kukicha ni kelele. Na bado.
 
Tatizo ni nani atakua wa kwanza kuanzisha hoja hiyo? Kwasasa mazingira yetu nadhani kuna roho mchafu anatamalaki, hebu fikiria kulikua na tetesi kwamba PHD ya mtu flani ni ya uongo ndiyo maana uwezo wake hata kujieleza umekua wa kusikitisha, basi kuna jamaa akajitokeza wazi wazi kulivalia njuga swala la PHD hiyo, kwa bahati mbaya akapotea mpaka leo hatujui kama yuhai ama la, haikukaa mda mrefu sana kuna mtu aliota ndoto mbaya kumhusu mtu huyo huyo ikamtokea bahati Mbaya akakaa rumande kama miezi mitatu, na waliokua wanataka kwenda kumjulia hali inasemekana wakatishwa. je katika mazingira hayo nani atakua wa kwanza kuanzisha hii hoja?
Yule alieona kuwa wako viongozi ni wachache na wanaoongozwa ni wengi
 
Hakuna panya yeyote anaeweza kumtoa magufuli madarakani.believe it or not.
Thank you
Ni kweli panya hawata weza kumtoa lakini watanzania tutamtoa madarakani hakuwekwa na panya madarakani aliwekwa na votes ....and trust me our votes will get him out
 
Back
Top Bottom