johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,147
Hahahaa....... Pampas ndio kile kifurushi unapelekaga Segerea kila week end!Hakika CCM mumechanganyikiwa ile mbaya. Naona mabosi wako wote wamevaa pampas, wanajihariashia tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeiona hii mtandaoni kwamba kama Lowassa hatasimama kugombea 2020 kwa sababu zozote zile basi Zitto Kabwe ndio atagombea urais.
Taarifa hiyo inasema kimsingi mzee Lowassa anapendelea zaidi Zitto ndio agombee na tayari ameshawasiliana na Katibu mkuu wa Cuf ambaye ameafiki pia, ila Mwenyekiti wa Chadema bado hajaweka wazi msimamo wake.
Mlale unono
Maendeleo hayana vyama!
John umetunga tungo moja ya kipumbavu mno. Inasikitisha kuwa watu sampuli yako ndiyo watetezi wa CCM. Ila hii na zote mnazoongopeana kuwa zitawatoa ndiyo zinazidi kuwadhalilisha. Na uzuri ni kuwa hili lichama lenu litapata pigo kuuuubwa sana kabla ya uchaguzi mkuu na wote mtatafuta pa kutokea.Hahahaa....... Pampas ndio kile kifurushi unapelekaga Segerea kila week end!
Lisu yupi atakayepambana " akihisi" ameibiwa kura?!Ni hivi, Zitto ni kweli ni mgombea sahihi wa upinzani, ila mtoa maamuzi sio Lowassa na hatakaa awe mtoa maamuzi. Hofu iliyopo kwa wanaccm wote ikiwapo Lowassa ni iwapo Lissu atagombea atakubali kuibiwa kura na kunyamaza kama kina Slaa na Lowassa? Ukweli ni kuwa Lissu ni mgombea hatari kutokana na ushawishi wake kwa wananchi hasa vijana, na Magufuli ni mdhaifu linapokuja suala la kushawishi, sana sana anachotambia ni uwezo wa kuamuru jeshi kufanya mauaji.
Lisu ubunge wake umeshikiliwa na King Musukuma!Hivi ni kwa nini Lissu amewahehusha hawa jamaa!?
Mmechanganƴikiwa mlipoolewa na mabeberu ƴa Barrick bila kupewa kishika uchumba! Sasa mnakuja na ramli fake!Nimeiona hii mtandaoni kwamba kama Lowassa hatasimama kugombea 2020 kwa sababu zozote zile basi Zitto Kabwe ndio atagombea urais.
Taarifa hiyo inasema kimsingi mzee Lowassa anapendelea zaidi Zitto ndio agombee na tayari ameshawasiliana na Katibu mkuu wa Cuf ambaye ameafiki pia, ila Mwenyekiti wa Chadema bado hajaweka wazi msimamo wake.
Mlale unono
Maendeleo hayana vyama!
Inajulilkana chama chenu kuwa kina Mfalme Msukuma!! Achukue tu huo Ubunge wa Lissu!!Lisu ubunge wake umeshikiliwa na King Musukuma!
Kudeal na mabeberu kwataka timing........usikariri kamanda!Mmechanganƴikiwa mlipoolewa na mabeberu ƴa Barrick bila kupewa kishika uchumba! Sasa mnakuja na ramli fake!
Lisu yupi atakayepambana " akihisi" ameibiwa kura?!
Timing mlishaikosea mlipokubali kuruhusu akatibiwe Kenya!! Au mlidhani kesho yake atarudi ndani ya sanduku?Kudeal na mabeberu kwataka timing........usikariri kamanda!
Lisu ubunge wake umeshikiliwa na King Musukuma!