johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,725
- 141,585
Nimeiona hii mtandaoni kwamba kama Lowassa hatasimama kugombea 2020 kwa sababu zozote zile basi Zitto Kabwe ndio atagombea urais.
Taarifa hiyo inasema kimsingi mzee Lowassa anapendelea zaidi Zitto ndio agombee na tayari ameshawasiliana na Katibu mkuu wa Cuf ambaye ameafiki pia, ila Mwenyekiti wa Chadema bado hajaweka wazi msimamo wake.
Mlale unono
Maendeleo hayana vyama!