Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,439
- 50,961
Lowasa tangu lini akawa ndiyo mchagua Wagombea kwa niaba ya Chadema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani umeisahau 2015, naamini pia huwajui Lowassa na Tundu Lissu.Lowasa tangu lini akawa ndiyo mchagua Wagombea kwa niaba ya Chadema?
Nyumbu hawana lao walibugi 2015 ,hapo 2020 watasumbuka bureZitto asubiri hadi 2025 jamaa atakapo maliza miaka yake 10,, Kama atagombea 2020 basi atajishusha Kisiasa na CCN wataitumia nafasi iyo Kumuangusha 2025,,,,
Sent using Jamii Forums mobile app