Imebainika: Zitto Kabwe ndio chaguo la Lowassa na maalim Seif kugombea urais 2020 kwa tiketi ya UKAWA!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,560
Nimeiona hii mtandaoni kwamba kama Lowassa hatasimama kugombea 2020 kwa sababu zozote zile basi Zitto Kabwe ndio atagombea urais.

Taarifa hiyo inasema kimsingi mzee Lowassa anapendelea zaidi Zitto ndio agombee na tayari ameshawasiliana na Katibu mkuu wa Cuf ambaye ameafiki pia, ila Mwenyekiti wa Chadema bado hajaweka wazi msimamo wake.

Mlale unono
Maendeleo hayana vyama!
 
Ni hivi, Zitto ni kweli ni mgombea sahihi wa upinzani, ila mtoa maamuzi sio Lowassa na hatakaa awe mtoa maamuzi. Hofu iliyopo kwa wanaccm wote ikiwapo Lowassa ni iwapo Lissu atagombea atakubali kuibiwa kura na kunyamaza kama kina Slaa na Lowassa? Ukweli ni kuwa Lissu ni mgombea hatari kutokana na ushawishi wake kwa wananchi hasa vijana, na Magufuli ni mdhaifu linapokuja suala la kushawishi, sana sana anachotambia ni uwezo wa kuamuru jeshi kufanya mauaji.
 
Hahahaa....... Pampas ndio kile kifurushi unapelekaga Segerea kila week end!
John umetunga tungo moja ya kipumbavu mno. Inasikitisha kuwa watu sampuli yako ndiyo watetezi wa CCM. Ila hii na zote mnazoongopeana kuwa zitawatoa ndiyo zinazidi kuwadhalilisha. Na uzuri ni kuwa hili lichama lenu litapata pigo kuuuubwa sana kabla ya uchaguzi mkuu na wote mtatafuta pa kutokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hivi, Zitto ni kweli ni mgombea sahihi wa upinzani, ila mtoa maamuzi sio Lowassa na hatakaa awe mtoa maamuzi. Hofu iliyopo kwa wanaccm wote ikiwapo Lowassa ni iwapo Lissu atagombea atakubali kuibiwa kura na kunyamaza kama kina Slaa na Lowassa? Ukweli ni kuwa Lissu ni mgombea hatari kutokana na ushawishi wake kwa wananchi hasa vijana, na Magufuli ni mdhaifu linapokuja suala la kushawishi, sana sana anachotambia ni uwezo wa kuamuru jeshi kufanya mauaji.
Lisu yupi atakayepambana " akihisi" ameibiwa kura?!
 
Wana lumumba mnahaha ka jibwa koko lililokimbizwa kilomita mia. Ulichoandika doesn't make sense.
 
Nimeiona hii mtandaoni kwamba kama Lowassa hatasimama kugombea 2020 kwa sababu zozote zile basi Zitto Kabwe ndio atagombea urais.

Taarifa hiyo inasema kimsingi mzee Lowassa anapendelea zaidi Zitto ndio agombee na tayari ameshawasiliana na Katibu mkuu wa Cuf ambaye ameafiki pia, ila Mwenyekiti wa Chadema bado hajaweka wazi msimamo wake.

Mlale unono
Maendeleo hayana vyama!
Mmechanganƴikiwa mlipoolewa na mabeberu ƴa Barrick bila kupewa kishika uchumba! Sasa mnakuja na ramli fake!
 
Lisu yupi atakayepambana " akihisi" ameibiwa kura?!

Kwa taarifa yako viongozi huwa hawapambsni bali huagiza tu, wanaopambana ni wafuasi wao kwa ushawishi wao. Vita vya Uganda anayesifiwa ni Nyerere, lakini Nyerere sio kwamba tu hakwenda vitani bali hakuwahi hata kuwasongea ugali waliopigana hivyo vita. Usidhani Lissu hata kama angekuwa hajapigwa risasi angeenda front line zaidi ya kuagiza tu.
 
Nimeiona hii mtandaoni kwamba kama Lowassa hatasimama kugombea 2020 kwa sababu zozote zile basi Zitto Kabwe ndio atagombea urais.

Taarifa hiyo inasema kimsingi mzee Lowassa anapendelea zaidi Zitto ndio agombee na tayari ameshawasiliana na Katibu mkuu wa Cuf ambaye ameafiki pia, ila Mwenyekiti wa Chadema bado hajaweka wazi msimamo wake.

Mlale unono
Maendeleo hayana vyama!

UKAWA WASIJARIBU KUFUGA JINI.LITAWAMALIZA WAO WENYEWE.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom