ya kwamba uzuri wa mtu ni tabia yake pamoja na matendo yake na wala siyo muonekano wake. Amini amini nawaambia, kama mtu hana mvuto kwa nje, basi ana wakati mgumu sana kuweza kupata wasaa wa kuionesha tabia yake na matendo yake "mazuri"..
Happy Friday.
Mapendo.
TANMO
Imenenwa na kuandikwa " Mla, Huliwa"
Chakula chakula ama?Imeandikwa "wasiosoma ni chakula cha wasomi".
Mh, Mkuu zamu yako ilishafika? i mean umeshaliwa?Imenenwa na kuandikwa " Mla, Huliwa"
Imeandikwa kuzaa siyo kazi, kazi kuleaImeandikwa kuwa "mficha uchi hazai"
Hii kali..IMEANDIKWAA NA KUNENWAAA..utakulaaa ulipo peleka mbogaaa
Ameeeeeeen, Haleluya... Niaje aisee!amin....na iwe kama unenavyo mtumishi....
Fo shoo!Haijaandikwa kuwa Chairfire niharamu
Imeandikwa kuwa Kongosho anahusika..Imeandikwa, Enyi wagalatia mmerogwa? Nani aliyewaroga?
Imeandikwa kula ni kula, mbaya kukomba mboga..Imeandikwa asiyefanya kazi na asile!