Ibambangulu, nabii mtenda miujiza aliyetabiri kuzaliwa kwa Mwl Nyerere

Dah natamani nikujibu lakini nakuheshimu, unajishusha na kuishusha sifa ndogo ulionayo hapa jawani. Kuniagiza mwanza niende kutizama nyaraka za vigagura muda huo hapana labda waliokudanganya waje na evidence ambayo wewe hapo huna kitu. Ungeisoma historia ya kweli ya nchi hii usingekenua. Cha mwisho jifunze kujibu hoja kwa hoja utakuwa mzuri sana
achana na ujinga

penda kujua asili yako

ningalikuambia kwamba kule bujora, kuna Yesu na kuna Mohamed ungelikimbia na usingelibisha kwenda kwa sababu wana rangi nyeupe, lkn unapoambiwa habari ya mtu mweusi moyo wako unasinyaa, unamwona mtu mweusi km nyani, kusinyaa kwako unajitukana wewe mwenyewe, penda kujua historia yako
 
[QUOTE="habari ya hapa, post: 19180086, member: 114221"kuileta kuonyesha weupe wako kichwani, hili jukwaa hili linaheshimika sana, hapakuwahi kuwa na mtu kama huyo. Mwambie aliekudanganya akwambie vizuri. Eti nabii ambaye hakuwahi kuandikwa.. Seriously?
sasa kati yangu na wewe nani anaonyesha uweupe wa kichwa chake?

Bujora, Mwanza kituo cha makumbusho ulishawahi kupasikia ukiacha kufika?

au umekuja mbio kisa umesikia nabii huyu alitenda miujiza kuliko Mohamed na nabii wako unayemwabudu?

nakuagiza nenda Bujora, utapata mengi kuhusu nabii huyu na wengine km Ng'wanamalundi nk[/QUOTE]
Sibishani kidini nimejibu kutokana na hoja yako dhaifu kuileta hapa. Hatujawahi kusoma wala kupata tetesi popote pale kuwepo kwa mtu au nabii wa aina hiyo. Waliokuingiza chaka acha wakuingize hata Makumbusho ya Taifa hakuna kitu kama hicho.

Umeshindwa kutetea hoja unaanza kuingiza imani za watu. Muhammad alitabiriwa na Mungu sio huyo ambaye hujui hata alichowahi kukifanya. Udhaifu wako na kutokuelewa kwako kumefanya udanganywe na wasiojua kama wewe.

Jifunze na jiamini kabla hujaaminiwa. Udini hautakusaidia Bibie[/QUOTE]

kwani wewe Unafahamu makubusho za taifa ngapi?

kwa taarifa yako kila mkoa una makumbusho ya Taifa unaohusika na utafiti wa kumbukumbu za kale za watu wa asili wa eneo hilo, ndio maana nimekwambia ukitaka kujua habari zaidi za huyo mtu utazikuta Bujora

bado unasumbuliwa na ujinga, kilicho akilini mwako ni kupenda kujua historia ya mohamed, Ibrahim, Isaka na Yesu jamaii za waarabu na wazungu

na sijawahi kuamini kupitia dini, isipokuwa Mungu
 
Mkuu Ibambangulu ingalikuwa ni kwa wazungu wangalimfanya kuwa mtume, alikuwa na maajabu makubwa sana, aliwahi kuweka maziwa fresh bila kuganda ndani ya miaka 3,
ndiyo unajua rafiki yangu sisi waafrika kila kitu tunataka kutendewa sisi ni bongo lala watu wakuasubiri jambo litokee na si kulifanya litokee unaweza kushuhudia mambo mengi yamefanya na watu weupe wafrika wao wapo tu , leo hii tunashuhudia mzungu anasema amegundua binadamu wa kwanza kuishi afrika hali ya kuwa na yeye ni binadamu na amewakuta binadamu , utasikia mzungu kagundua ziwa Victoria hali ya kuwa kaja kalikuta wasukuma wakiiliita NYANZA , yeye kagundua na kabadili hadi jina , leo kuna waafrika wenzetu wanasotea mwalimu nyerere kutangazwa mtakatifu na ukiwaambia wanachofanya ni ujinga wanaweza kwenda hata kortini kufungua shitaka ni shiida
 
nashukuru kwa uelewa wako mkuu,

usikate tamaa kuuelimisha umma wa watanzania
ukweli halisi
 
nabii huyu wa kiafrika alikuwa na maajabu mengi sana likiwa pamoja na hili
alikuwa akiingia kwenye chumba alikuwa na uwezo wa kujaa chumba kizima na hii ilipelekea mauti yake ambapo siku moja alijaa kwenye chumba na nje kulikuwa na kuku mmoja aliyekuwa anatembea kutafuta chakula aliona kitu kama nyama na akadonoa kumbe ulikuwa mwili wa nabii huyu na hapo hapo mauti yalimfika nabiii wa kiafrika akafa akiwa ameacha maajabu mengi
Kuku tu kumdonoa akafariki?
Naona kama kichekesho.
 
achana na ujinga

penda kujua asili yako

ningalikuambia kwamba kule bujora, kuna Yesu na kuna Mohamed ungelikimbia na usingelibisha kwenda kwa sababu wana rangi nyeupe, lkn unapoambiwa habari ya mtu mweusi moyo wako unasinyaa, unamwona mtu mweusi km nyani, kusinyaa kwako unajitukana wewe mwenyewe, penda kujua historia yako
Kuna mmoja anaitwa Kamanga alikua mwanza unajua habari zake?tujuze tafadhali.
 
nashukuru kwa uelewa wako mkuu,

usikate tamaa kuuelimisha umma wa watanzania
ukweli halisi
Unajua habari ya hapa , watu wengi wanafia dini bila kujua kwamba Biblia au Quran haziongelei dini. Kwa mtu aliyesoma biblia na akaielewa sawa sawa japo kwa asilimia hata 40 hawezi kwenda kanisani kurukaruka kama mtu aliyepagawa ati anacheza kwa jina la Yesu! Kumbuka waliomuua Yesu ni watu wa dini, na ndiyo maana mfia dini yeyote si mwerevu wa mambo ya Mungu. Mungu hana dini, dini zimewekwa na wajanja ili kuutawala ulimwengu kirahisi. Kulielewa hili, lazima usome vitabu nje ya mipaka ya dini na miiko yote!
 
Kwani yule njiwa aliyeshuka kwa Yohana Mbatizaji alikuwa "njiwa tu"? Ile ilikuwa roho. Kwa hiyo hata huyo kuku mchukulie kama representation ya roho. Inawezekana Nabii alizidisha kujitukuza akamuudhi Mungu. Na hapo ndipo roho kwa njia ya kuku alikuja kumuua.
Sasa kumbe ni jambo la kufikirika?Why niwaze kuwa nabii alizidisha mambo fulani yaliyomuuzi Mungu nisiwaze kuwa kuku alimdonoa baada ya kutumwa na mkuu wa wachawi?
 
alikuwa ni mtu mashuhuri

na moja ya bandari zilizoko katik ziwa victoria inaitwa kwa jina lake
ambapo ndipo alipokuwa akiishi
Kamanga bay,yaani tz hatuna tu kumbukumbu za kutosha,lkn Kamanga ni babu wa bibi yangu mzaa mama,nachojua khs yeye ni kidogo mno.

Bibi aliwahi kunisimulia kuwa Kamanga aliota kifo cha gavana wa Uingereza wakati huo akamtuma rafiki yake akamwambie gavana,huyo rafiki yake kufika akakuta watu wana taarifa tyr kutoka UK,bs walichofanya ni kumnyonga.
 
Naambiwa na yeye alikua mwonaji.
Maajabu hayakutendeka Iziraeli na Uarabuni peke yake

yapo matendo makuu mengi yaliyotendeka nje ya Iziraeli na Uarabuni lkn waandishi wa misaafu hawakuiandika kwa sababu wlaikuwa wanatetea hadhi za mataifa yao
 
Archaelogists wameshindwa kuthibitisha kuwa kuliwahi kuwa na mfalme anaitwa Daudi Israel na kuwa alikua na ufalme wa level zile,hiz ni habari za kusadikika tu.

Sasa kwnn tunashindwa amini za kwetu.
 
Archaelogists wameshindwa kuthibitisha kuwa kuliwahi kuwa na mfalme anaitwa Daudi Israel na kuwa alikua na ufalme wa level zile,hiz ni habari za kusadikika tu.

Sasa kwnn tunashindwa amini za kwetu.
walishatuaminisha ujinga

nasi tumeamini ujinga
 
Back
Top Bottom