Ibambangulu, nabii mtenda miujiza aliyetabiri kuzaliwa kwa Mwl Nyerere

nabii huyu wa kiafrika alikuwa na maajabu mengi sana likiwa pamoja na hili
alikuwa akiingia kwenye chumba alikuwa na uwezo wa kujaa chumba kizima na hii ilipelekea mauti yake ambapo siku moja alijaa kwenye chumba na nje kulikuwa na kuku mmoja aliyekuwa anatembea kutafuta chakula aliona kitu kama nyama na akadonoa kumbe ulikuwa mwili wa nabii huyu na hapo hapo mauti yalimfika nabiii wa kiafrika akafa akiwa ameacha maajabu mengi
Mkuu Ibambangulu ingalikuwa ni kwa wazungu wangalimfanya kuwa mtume, alikuwa na maajabu makubwa sana, aliwahi kuweka maziwa fresh bila kuganda ndani ya miaka 3,
 
Story mpya
Nenda Bujora kwenye kituo cha Makumbusho kilichopo mkoani mwanza

nyaraka zake zote utazikuta, bahati mbaya sana ni kwamba ninyi mnashughulika na historia ya Ibrahimu, Isaka, Yakobo, Musa na wengine akina Mohamed, ambapo hao huna uhusiano nao
 
[QUOTkuonyri ya hapa, post: 19176514, member: 114221"]Ndio,

Kwani wewe kwako unaposikia neno Mwokozi ni mtu wa aina gani?[/QUOTE]
Acha kuonyesha weupe wako kichwani, hili jukwaa hili linaheshimika sana, hapakuwahi kuwa na mtu kama huyo. Mwambie aliekudanganya akwambie vizuri. Eti nabii ambaye hakuwahi kuandikwa.. Seriously?
 
Kabla ya Ibambangulu na Mwanamalundi alikuwepo nabii Sitta. Huyu alitabili ujio was wakoloni na jinsi watakapotesa watu. Alitabiri pia kuzaliwa kwa mkombozi wetu JK Nyerere. Ukitaka historian yake fika Bariadi kijiji cha Kilulu (Gabu). Hapo kuna mlima au jiwe alilokuwa anapanda na kuongea na watu walio umbali was kilomita kumi na wakasilizana. Pia kuna picha ya mkewe kwenye jiwe. Picha hii haikubali kupigwa kwa kamera. Ukipiga litatoka jiwe tu bila picha. Kuna maajabu mengi tu ukifika Gabu. Huyu ndiye chanzo cha nabii Nindwa. Alikuwa na uwezo was kuunda jeshi kwa kutamka tu.
Ukweli yapo mengi.

Hakufa alipotea tu kwa hiyo hakuna anayejua kaburi lake.
Kuna wakati Wamasai huja kuhiji hapa sijajua uhusiano wa Sitta na wamasai. Kipindi cha vita ya wasukuma na wamasai walikuwa wakija wanasindikizwa na Polisi maana wasingerudi salama.
Kuna watu huwa anawatokea had I sasa japo siwezi kulithibitisha hili. Utalii huu.
 
[QUOTkuonyri ya hapa, post: 19176514, member: 114221"]Ndio,

Kwani wewe kwako unaposikia neno Mwokozi ni mtu wa aina gani?
Acha kuonyesha weupe wako kichwani, hili jukwaa hili linaheshimika sana, hapakuwahi kuwa na mtu kama huyo. Mwambie aliekudanganya akwambie vizuri. Eti nabii ambaye hakuwahi kuandikwa.. Seriously?[/QUOTE]
sasa kati yangu na wewe nani anaonyesha uweupe wa kichwa chake?

Bujora, Mwanza kituo cha makumbusho ulishawahi kupasikia ukiacha kufika?

au umekuja mbio kisa umesikia nabii huyu alitenda miujiza kuliko Mohamed na nabii wako unayemwabudu?

nakuagiza nenda Bujora, utapata mengi kuhusu nabii huyu na wengine km Ng'wanamalundi nk
 
Hehehe, Aisee wale wapiganaji ramlii na wachawi wa Zamani ndio wamekuwa ma nabiii.. Hihi! Aisee
 
[QUOTE="habari ya hapa, post: 19180086, member: 114221"kuileta kuonyesha weupe wako kichwani, hili jukwaa hili linaheshimika sana, hapakuwahi kuwa na mtu kama huyo. Mwambie aliekudanganya akwambie vizuri. Eti nabii ambaye hakuwahi kuandikwa.. Seriously?[/QUOTE]
sasa kati yangu na wewe nani anaonyesha uweupe wa kichwa chake?

Bujora, Mwanza kituo cha makumbusho ulishawahi kupasikia ukiacha kufika?

au umekuja mbio kisa umesikia nabii huyu alitenda miujiza kuliko Mohamed na nabii wako unayemwabudu?

nakuagiza nenda Bujora, utapata mengi kuhusu nabii huyu na wengine km Ng'wanamalundi nk[/QUOTE]
Sibishani kidini nimejibu kutokana na hoja yako dhaifu kuileta hapa. Hatujawahi kusoma wala kupata tetesi popote pale kuwepo kwa mtu au nabii wa aina hiyo. Waliokuingiza chaka acha wakuingize hata Makumbusho ya Taifa hakuna kitu kama hicho.

Umeshindwa kutetea hoja unaanza kuingiza imani za watu. Muhammad alitabiriwa na Mungu sio huyo ambaye hujui hata alichowahi kukifanya. Udhaifu wako na kutokuelewa kwako kumefanya udanganywe na wasiojua kama wewe.

Jifunze na jiamini kabla hujaaminiwa. Udini hautakusaidia Bibie
 
uchawi ni nini?

na

mpiga ramli?
Dah natamani nikujibu lakini nakuheshimu, unajishusha na kuishusha sifa ndogo ulionayo hapa jawani. Kuniagiza mwanza niende kutizama nyaraka za vigagura muda huo hapana labda waliokudanganya waje na evidence ambayo wewe hapo huna kitu. Ungeisoma historia ya kweli ya nchi hii usingekenua. Cha mwisho jifunze kujibu hoja kwa hoja utakuwa mzuri sana
 
Back
Top Bottom