Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,939
Unakukumbuka Juz Hapa Kuna Kitu Nilikutumia ukaniambia NisubirMmh kwanini?
Mpaka Sasa Nasubiri
Unakukumbuka Juz Hapa Kuna Kitu Nilikutumia ukaniambia NisubirMmh kwanini?
Nitajuaje Kama Wazaz Wangu Waliingia Maagano
Mungu yupo kw kila mmoja na ndio maana ukienda kw mganga na akakupa dawa ata kwmbia n kw uwezo wa Mungu na kupitia yeye ataweza kufanikisha ata wez na wachawi wanaamin uwepo wa Mungu, ila ukiwaambia KWA JINA LA YESU uwa inakuw n shida kwao maana hapo inakuw n falme mbili tofaut.. kwhyo Mungu yupo na dini n iman ya kile mtu anacho kiamin.