LegalGentleman
Member
- Oct 26, 2021
- 99
- 296
Hayati JPM aliamini kuwa cha kwetu ni cha kwetu na inatubidi kuwa na uzalishaji wa kwetu na ndio maana mambo mengi yalifanyika ndani ya nchi kwa mafanikio makubwa pia. Mhe rais Samia Suluhu Hassan anaamini katika wafanyabiashara huku akiamini ile imani ya kuwa wafanyabiashara ndio watakaorudisha mzunguko wa fedha kuwa mkubwa katika jamiii.