Imani Ya Kweli Ya Mungu Mmoja Wa Kweli

Imani Ya Kweli Ya Mungu Mmoja Wa Kweli

Umeshasema kitabu cha uongo, hiyo itabaki kwako na wewe ukiwa unaamini uongo vilevile, na biblia imesema wazi kuhusu watu kama ninyi 👇

Zaburi 14:1
"Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu..."

Kwa hiyo huwezi kunipa shida kwa sababu

Biblia inasema kutokukubali Mungu yupo ni upumbavu, ikiashiria kuwa kuwepo kwake ni jambo lililo wazi kama nilivyofafanua hapo awali.

Na kinachonifanya mimi niamini Mungu yupo ni neno lake, imani yangu inatokana na neno la Mungu.

Waebrania 11:6
"Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza, kwa maana mtu amwendeaye Mungu lazima aamini kwamba yeye upo, na kwamba huwapa thawabu wale wamtafutao kwa bidi."

Hapa imani inaamini Mungu yupo, na namwendea kila wakati kumwona, uwepo wake ni dhahiri kwetu.

Kutokuamini kwako haiwezi kuondoa ukweli wowote kuwa Mungu yupo.
Bado hujathibitisha Mungu yupo kweli na hizo habari za kwenye Biblia kuwa Mungu yupo si hadithi za kutungwa na watu tu.
 
Huo si uthibitisho.

Huelewi kuwa kuandika "Mungu yupo kweli" si kuthibitisha kuwa Mungu yupo kweli?

Thibitisha Mungu yupo kweli.
Maombi yangu upate neema ya wokovu, mpokee Yesu moyoni mwako, utakuwa mtu bora na wa maana sana. Imani yako sio sahihi, unahitaji kupokea imani mpya ndani yako.
 
Maombi yangu upate neema ya wokovu, mpokee Yesu moyoni mwako, utakuwa mtu bora na wa maana sana. Imani yako sio sahihi, unahitaji kupokea imani mpya ndani yako.
Huo si uthibitisho.

Sihitaji maombi. Nataka uthibitisho.

Thibitisha Mungu yupo kweli.
 
Tusijipe matumaini feki ambayo kiuhalisia hayapo. Nani aliyethibitisha kuwa huyu ni Mungu wa kweli dhidi ya mwingine? kusoma vitabu tu vya wazungu na waarabu haitoshi kuthibitisha kuwa nani ni Mungu wa kweli! KILA mtu kwa imani yake kuhusu Mungu ndivyo ukweli wake ulivyo,Kama mimi naamini kuwa Mungu wangu wa kweli yupo chini ya mti mkubwa wa mbuyu na nikiomba baraka na neema hapo nabarikiwa basi niachwe niamini hivyo hivyo kwa vile mtu halazimishwi aamini kile asichokiamini..
MUNGU awabariki sana
 
Uthibitisho ni wewe mwenyewe na uhai ulionao
.imi na uhai nilionao ni uthibitisho kivipi?

Onesha uthibitisho ueleweke, usiseme tu.

Kusema tu hata mimi naweza kusema "Mimi ni Mungu".

Je, hilo linanifanya niwe Mungu?
 
.imi na uhai nilionao ni uthibitisho kivipi?

Onesha uthibitisho ueleweke, usiseme tu.

Kusema tu hata mimi naweza kusema "Mimi ni Mungu".

Je, hilo linanifanya niwe Mungu?
Unataka uthibitisho? Subiri Mungu mwenyewe atakuthibitishia, muda sio mrefu utaliona hilo.
 
Umekubali kuwa unakubali uwepo wa Mungu ambaye huwezi kuthibitisha yupo?
Walikuwepo watu zaidi yako waliokana uwepo wa Mungu na walinyooka wenyewe, wewe ni mdogo sana, nimekuambia subiri majibu ya Mungu akutokee.
 
Walikuwepo watu zaidi yako waliokana uwepo wa Mungu na walinyooka wenyewe, wewe ni mdogo sana, nimekuambia subiri majibu ya Mungu akutokee.
Mpaka sasa hujathibitisha Mungu yupo.

Unaleta longolongo nyingi tu ambazo hazithibitishi Mungu yupo.

Acha longolongo. Thibitisha Mungu yupo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom