Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,201
- 17,563
- Thread starter
-
- #61
Kasome upya sheikh hamna nilichokoseaSlogan mpya inasemaje kabla hujaanza kunikejeli?
Zinasomwa wapi mama yetu? Mana sio mtaalamu sanaKasome upya sheikh hamna nilichokosea
PoleZinasomwa wapi mama yetu? Mana sio mtaalamu sana
Mana kunannyuzi naziandika sio kali zinafutwa lakini sasa nashangaa hii ikp wazi imeachwa kwa nini eti ?
Awww thank you Kwa kuniita Kisi🤣🤣🤣kuna mshkaji tulikuaga room moja form five kipindi hiko..jamaa ni msabato msimamo mkali,,jumamosi ni kulala deka tuu,,ila ni malaya mbaya,,kitaa alikua na madem kama wote,halafu visu kama aliyewekwa avatar ya mtoa post
Just like u
Heri ya mwaka mpya
Nenda youtube au website yangu kaniangalie utajuaUna chura?
Weka link tukakuongezee viewersNenda youtube au website yangu kaniangalie utajua
SawaWeka link tukakuongezee viewers
Hehe
Nenda youtube au website yangu kaniangalie utajua
Money ya kwako ilizinduliwa na mkristo au m uislam?Hehe
Sawa PR wa JFAcha kudanganya watu,youtube hujaweka chura bali unaisitiri kwa ajili ya mume wako!
Mkristo bossMoney ya kwako ilizinduliwa na mkristo au m uislam?
Maendeleo hayana chama
Basi hio nyama yako itakua ni haramu kwa waiislam kama mchinjaji alikua ni mkristoMkristo boss