Imani na Tendo la Ndoa

Njoo PM nikupe website yangu ukaniangalie ujue kama me NI Me au Ke

Achana na akili yako kwa sasa inakupoteza
Kuingia kwenye website yako utanilipa?maana lazima kuna muda wangu nitaupoteza.Kama hapa tu ume-post vitu vya ajabu kama hivi huko kutakuwaje?

Sentence ya mwisho sijakuelewa ila nitaitafakari naweza labda nikaielewa,tuachane na hili naondoka kwenye uzi wako.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Nenda kwenye website utajuta kwanini ulichelewa kuifahamu
 
Mkuu. Invisible huu uzi mbona umeachwa na maudhui yake yanakejeli upande fulani tena kwa kutaja jina kabisa?

Wengine tunatoa nyuzi hazimtaji mtu mnafuta kwa nini?

Huu uzi mbona upo hapa mpaka sasa?
 
kuna uwezekano wa kuhide nani aone status yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu. Invisible huu uzi mbona umeachwa na maudhui yake yanakejeli upande fulani tena kwa kutaja jina kabisa?

Wengine tunatoa nyuzi hazimtaji mtu mnafuta kwa nini?

Huu uzi mbona upo hapa mpaka sasa?
Tafuta slogan mpya ya Jamii forum Ma'am Acha kuwaka kama kichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…