Imani inapokuwa mzigo

Imani inapokuwa mzigo

Dingi kajifanya Ibrahimu kumtoa sadaka dogo Isaka siyo...
 
.
IMG-20190226-WA0000.jpeg

Jr[emoji769]
 
Yesu Kristo alishatukomboa toka sadaka ya kuteketezwa sasa huyu sijui anasoma Biblia gani
Hata huyo alianza kuamini hivyo na baadae imani ikaongezeka. Hujasikia kuna mwingine kafufua mtu huko sauzi afirika? Hivi huyu mnamuona ana wazimu kuliko yule anayeamini kuwa Mtakatifu Jiwe ana nia njema na nchi na atatupeleka next level?
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom