Imani inapokuwa mzigo

Imani inapokuwa mzigo

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,436
Reaction score
872,033
1428555917931.jpg1428555938218.jpg
 
Ulivyosema imani nikajua labda huyo mtoto kuna salam fulani hivi amesalimiwa akashindwa kuitikia akatembezewa kisu..aaahh!! kumbe sivyoo!!
 
Faith takes people crazy.............!
cc Gwajima.
 
Yesu Kristo alishatukomboa toka sadaka ya kuteketezwa sasa huyu sijui anasoma Biblia gani
Mkuu huyo kasoma biblia ya AGANO la tatu na lishatoka ni kujitahidi ili nawe ulipati na maaandiko yake yamezidishwa kidogo
 
Mkuu huyo kasoma biblia ya AGANO la tatu na lishatoka ni kujitahidi ili nawe ulipati na maaandiko yake yamezidishwa kidogo

Silitaki hilo hata kwa midorali makubazi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom