Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 9,756
- 15,554
Juhudi za kimwili na akili tulizonazo binadamu wote hazitoshi kuwa ushahidi wa imani ya Mungu mwenye nguvu kupita wote.
Kuna Mungu na miungu.
Viumbe kama miungu vina nguvu, na nguvu hiyo tunaita nguvu ya kiroho (maarifa ya kiroho)
Tunafahamu Mungu aliyetuumba ndie ana nguvu kubwa ya kiroho (yani ana maarifa makubwa ya kiroho) kupita miungu yote na ndio maana anakuwa Roho isio onekana kwa roho zingine zote.
When you become more spiritual, means you become invisible to other spirit.
Kwanini mchawi anakuja kwako na umuhoni, ni kwasababu anajua mambo ya Rohoni kukuzidi.
Nikupe mfano wa Uchawi unaofanywa na watu wengi wa rohoni bila kujua:
umewahi kuongea na mtu ambae ni wa karibu kwako, then akawa anakwambia siri na mambo yake, ambayo yanamfunua kwamba yeye si mtu mzuri, au alifanya jambo fulani yani ni mtu anajisema madhambi yake, ni kama bila kujijua na maisha yakiendelea huyo mtu anafikiri ilo jambo wewe hujui, kumbe alikwambia yeye mwenyewe 😁😅
uwo ni mfano wa uchawi, ambao ukiwa rohoni sana, basi watu wanakiri mambo yao bila kutarajia.
Mada:
Kwahiyo ukiwa na imani au dini ya kweli, haiishihi kwenye maneno bali huenda hadi kwenye kupata nguvu za rohoni..
Nguvu za rohoni (Spiritual power)
zinatumika maeneo mengi sana.. kibiashar, ulinzi, majukumu makubwa na n.k
Je unajijua Kama una Nguvu za rohoni, na nini hutokea kwa asie na nguvu za rohoni.
Dini na imani zote hufundisha na wengine hawafundishi kwa kutokujua au Kufanya kama ni elimu na maarifa ya siri.
Ushindani wa Nguvu za kiroho kwa anayetumikia miungu na Anayemtumikia Mungu wa kweli vita hii mshindi ni yule atakua upande wa Mungu wa kweli na anajua nini anafanya.
Kutokujua tu sifa za mungu wako na anakutaka ufanye nini, ni hasara na kupelekea kukosa nguvu nyingi sana za kiroho.
Kipimo kinachotumika kupima nguvu za kiroho...
....