Hossam
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 3,547
- 2,181
Kama ni wangu namuinua namsafisha nambeba kupeleka kitandanii huwezi jua kazimia au anaumwa si kila anaeanguka kalewa saa nyingine maradhi na maradhi yanakukuta popoteee
Natamani nikuone katika ubora wako mama!